Uchaguzi 2020 CCM msimjibu Tundu Lissu, Mnavyomjibu ndio anazidi kuongea mengi

Huyu mwamba ni tatizo kubwa mno,mfano jana akiwa Dodoma kuna sehemu ya hotuba yake alikua anarudia rudia kusema ile sentesi tumejenga Standard guage takribani mara mbili au tatu aisee nilicheka sana. TL kaamua kubomoa nyumba na kuchoma materials zote ha ha.
anajua anapowakeraa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787]. Na hapo mdahalo haupo. Vipi kama mdahalo ungelikuepo ki sheria ?!
 
Lissu anajua ku-prove acha kabisa, mdahalo ukiwepo unaweza shangaa ghafla matangazo yametoweka hewani. Vibe la TL sio la nchi hii... ha ha
 
Wamechanganyikiwa kweli na hoja za Lissu miaka yote familia ya baba wa Taifa mmeitelekeza mnajidai wajanja , leo mmeona maji shingoni ndio mnaanza kulazimisha mpaka wazee wawapigie kampeni real ?
 
Inauma sana
 
baada ya kupigwa risasi 16 na kupoteza fahamu kwa siku kadhaa naona kuna malaika walimpa Lissu akili nyingine kabisa toka mbinguni, kumjibu ni kujibomoa mwenyewe.
apewe tu haki yake atakayoipata kwenye sanduku la kura na si vinginevyo.
 
Mambo bado magumu
 
Back
Top Bottom