Uchaguzi 2020 CCM msimjibu Tundu Lissu, Mnavyomjibu ndio anazidi kuongea mengi


Kweli leo nimekutana na mtu mwenye MAPENZI ya dhati na ccm
 
Wewe acha upuuzi wako. Mtu anasema rais alitoa amri apigwe risasi. Mtu anasema awape kazi wa jalalani. We unadhani ni lugha nzuri. Kumbuka JPM ni Amiri jeshi mkuu.
Amiri jeshi mkuu ananaye amrisha asiowapenda wapigwe risasi??
 
Usiwastue wewe waache na wang'ang'anie flyover, sgr na stieglers halafu wanaowahutubia warudi nyumbani huku watoto wamemaliza vyuo hawana ajira, hawana bima ya afya ya kutibia mama zao, makato ya elimu ya juu yamefanya wenye vimshahara vyao washindwe kumlipa Mangi kwa deni la dukani la mchele na mafuta, na wastaafu wanasumbuliwa mafao

Kisha uje uone kama wananchi wana Interest na kujenga uwanja wa ndege Chato!
 
Usiogope Lissu Sio MTANZANIA kwa hiyo ni Mpiga Kelele anEjifurahisha NILISEMA JANA TANZANIA SIO NCHI YA WAPUMBAVU NA MAGUFURI NI MOJA YA WATU WENYE AKILI Anajua nini anafanya
WAPUMBAVU ni mawaziri wa jiwe, na ni yeye aliyewaita hivyo. So, wewe ni MPUMBAVU zaidi kwa sababu wewe sio waziri. Basi, UPUMBAVU ni zaidi ya cheo chako uliye mfuasi wa WAPUMBAVU.
 
Ni kweli kabisa kwani watu wanahitaji ahadi zenye mashiko sio mambo ya Lisu. Lisu tumwache anadi sera za chama cheke tukiendelea kumzunguzia tunaonekana kama hatukujiandaa kuingia ktk kampeni za uchaguzi
Nyinyi mumejiandaa kwa MTU wa bunduki tu mukae madarakani siyo kujiandaa kwa kampeni

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Chairman wenu,ni kituko sana,anasema "maendeleo hayana vyama"wakati huo huo anawaambia wananchi"sikuleta maendeleo jimboni kwenu kwa sababu mlichagua mpinzani"
Sasa sijuhi pesa za kujenga miundombinu,Kodi,zinatolewa na ccm tu?
 
Kwenye hili GUSSIE, nakupa kongole! Kwa kweli umefanya kitu ambacho wanajukwaa wengi, nikiwa mmoja wao, iwe ccm au CHADEMA, ni vigumu kufanya! Umekuwa mkweli na kukikosoa chama chako hadharani! Hongera sana, kama wasipo kusikia na kufuata, ushauri wako, kung’uta miguu yako ugeukie upande wa mataifa! (Biblical speaking)
 
Kuna Mdau aliaema humu kuwa Tundu Lissu ni mtu wa ajabu sana. Ni kiumbe ambaye ukiwa naye lazima ujikute unafanya anavyotaka yeye.

Yaani unajikuta yeye ndiye remote contro wako.
 
Kwa miaka mitano ccm haikufanya kazi ya siasa bali ilikabidhi jukumu hilo kwa serikali ambayo ni clueless. Hiyo kazi ya siasa inabidi ifanyike sasa. Mfumo wa siasa za ushindani ungeheshimiwa, watawala wangekuwa wanakosolewa kila siku na bila wangekuwa wanajisahihisha kila siku. Sasa muda wa kujisahihisha haupo.
 
Usimwamshe aliye lala ukimwamsha utalala wewe Lisu ni mpango wa Mungu acha kusudi lake litimie
 
Lissu mtaalam wa kuchomoa betri kwa uangalifu sana. Anachomoa anasepa mnabaki mnaungua yeye hayupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…