Uchaguzi 2020 CCM msimjibu Tundu Lissu, Mnavyomjibu ndio anazidi kuongea mengi

Zingine hizi albadir za kipindi anashambuliwa ndio wanaanza kujitaja Mungu sio wa kudhihakiwa
Watake wasitake mziki wa lissu watacheza tyuuuh, maan hadi ostadhath (samia) ameshaanza kucheza kigodoro, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
The charismatic leader, ni YEYE. yajayo yanafurahisha.
 
We utakuwa Kati ya wanaCCM wachache wenye akili timamu.
 
GUSSIE
wewe ni kada marufu sana na wa muda mrefu sana humu JFs misimamo yako haijawahi kuyumba kuhusu sera na itikadi za Ccm. Ikiwa wewe umefika hatu hii mimi ni nani nikupinge??
Kitendo cha mama Samia Suluhu ambaye inaaminika miaka yote kuwa ni mtu mpole asiyeropoka hovyo na leo kilichotokea kujibu maswala ya Lissu ambayo hata hajaulizwa kinasangaza sana.

Lissu alimwaga upupu jana Kule Dodoma akasepa zake. Wadau wote wanawashwa.

Ilikuwa ni halali kwa Lissu kutema nyongo kwani Dodoma ndio sehwmu aluliyopigwa risasi na wananchi walishuhudia mchana kweupe. Sasa asemeje??
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„Leo samia alitaka kumtaja aliyempiga risasi.

Lissu ni mtu wa ajabu, anakufanya utende anavyotaka. Ngoma inogile

Twende na Tundu Lissu.
 
Sasa na nyie mmezanza tena kucheza mziki wa Lissu. Mbona mnaparuana lumumba fc vipi?
 
Wewe acha upuuzi wako. Mtu anasema rais alitoa amri apigwe risasi. Mtu anasema awape kazi wa jalalani. We unadhani ni lugha nzuri. Kumbuka JPM ni Amiri jeshi mkuu.

Suppose wewe ndiye unayepaswa kujibu hoja hizi zenye "lugha isiyo nzuri", ungejibuje?

1. Kama siyo Rais Magufuli aliyetoa amri jamaa apigwe risasi direct or indirectly, ni nani sasa alitoa amri hiyo?

2. Prof. Palamagamba Kabudi hakuwaji kusema kwa kinywa chake mwenyewe kuwa alitolewa jalalani na kupewa kazi ya uwaziri? Je, wewe unawezaje kuijibu kwa kuipinga hoja hii?
 
Tundu Lissu ni mwanaharakati. Akasomee kozi ya uongozi, maendeleo na uzalendo apevuke ndio LABDA wananchi tutamwelewa.
 
Lissu kibokooo jamani
Huyu mwamba ni tatizo kubwa mno,mfano jana akiwa Dodoma kuna sehemu ya hotuba yake alikua anarudia rudia kusema ile sentesi tumejenga Standard guage takribani mara mbili au tatu aisee nilicheka sana. TL kaamua kubomoa nyumba na kuchoma materials zote ha ha.
 

anajua anapowakeraa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimemsikiliza JPM akiwa Rorya amemtaja Ezekiel Wenje mara 4 akimuombea kura, akamuita Ezekiel atoke mbele [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ndo akashtuliwa mgombea wa CCM ni Jafari. Nadhani kuna hitilafu mahali.
 
Nimemsikiliza JPM akiwa Rorya amemtaja Ezekiel Wenje mara 4 akimuombea kura, akamuita Ezekiel atoke mbele [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ndo akashtuliwa mgombea wa CCM ni Jafari. Nadhani kuna hitilafu mahali.
 
Kwa Lissu..Ukisimama Nchale...Ukikimbia Nchale
 
Wewe acha upuuzi wako. Mtu anasema rais alitoa amri apigwe risasi. Mtu anasema awape kazi wa jalalani. We unadhani ni lugha nzuri. Kumbuka JPM ni Amiri jeshi mkuu.
Sasa hivi bado tu unamuita magufuli eti ni Rais?
Magufuli ni mgombea kama wagombea wengine.
 
Tunataka kujua kama Samia amejipanga na siasa za maji taka. Kigogo ameamza kumdodosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…