Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Huyu mwamba ni tatizo kubwa mno,mfano jana akiwa Dodoma kuna sehemu ya hotuba yake alikua anarudia rudia kusema ile sentesi tumejenga Standard guage takribani mara mbili au tatu aisee nilicheka sana. TL kaamua kubomoa nyumba na kuchoma materials zote ha ha.
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787]. Na hapo mdahalo haupo. Vipi kama mdahalo ungelikuepo ki sheria ?!anajua anapowakeraa [emoji23][emoji23][emoji23]
Lissu anajua ku-prove acha kabisa, mdahalo ukiwepo unaweza shangaa ghafla matangazo yametoweka hewani. Vibe la TL sio la nchi hii... ha haAhahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787]. Na hapo mdahalo haupo. Vipi kama mdahalo ungelikuepo ki sheria ?!
Mambo bado magumubaada ya kupigwa risasi 16 na kupoteza fahamu kwa siku kadhaa naona kuna malaika walimpa Lissu akili nyingine kabisa toka mbinguni, kumjibu ni kujibomoa mwenyewe.
apewe tu haki yake atakayoipata kwenye sanduku la kura na si vinginevyo.