Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Ni hela zetu Chief, ishu ni kwamba ilikopwa sana, tena kwa siri! Now tunaambiwa ukweli watu wanakuja juuKwani mkopo sio hela zako mkuu?
Ama mkopo unaulipaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hela zetu Chief, ishu ni kwamba ilikopwa sana, tena kwa siri! Now tunaambiwa ukweli watu wanakuja juuKwani mkopo sio hela zako mkuu?
Ama mkopo unaulipaje?
Hela za miradi huko umeenda mbali, magari ya polisi na ya wagonjwa yameanza kukosa mafuta! Kama kuna una rafiki anafanya kazi kuanzia zahanati au hata kituo cha afya cha serikali muulize mwezi wa 2 mlipata shilingi ngapi za basket fund na mwezi huu wa 12 kiasi gani mmepewa! Happ ndio ujue kuwa Hangaya msoga wameamua kumshona kidonda bila ganzi!Nahisi huruma kwa mama maana kuna miradi ela hakuna je mama apate wapi izo ela Basi waseme hadharani wapi wakuzipata ela ili mama hasikope alafu inaamana mama anakosea tu kuliko uongozi uliyopita?
shida tunayoiona leo inaletwa na watu wachache ndani ya CCM,- Polepole, Ndugai, na wengineo mnaowafahamu. Hawa watu wafukuzwe uanachama ili waweze kuendelea kupambania wanachoamini nje ya mfumoNinashangaa kuona kuna vikundi vya kijinga ndani ya chama changu cha CCM vinajifanya kua wajuaji sana na kwa wao ndio wanaojua sana nchi kwakua walikua sehemu ya utawala wa awamu ya 5. Vigenge hivi vinajifanya kua active kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya awamu ya 6, utafikiri mama hakua sehemu ya utawala wa awamu ya 5.
SWALI LANGU: Kama katiba inasema Rais aliyeko madarakani akifariki basi makamu wa Rais kuapishwa kua Rais kuendeleza gurudumu, hivi baada ya JPM kufariki dunia walitaka nani awe Rais na kwa utaratibu upi? Mnataka kusema kua JPM alikua na makosa kumteua Rais Samia enzi hizo kua Makamu wake mara mbili mfululizo? Hamjui kabisa kua hata Rais Samia ni mteule wa JPM awamu zote mbili mfululizo?
Mnachowewesekea ni nini? Mnataka Mama aendeshe nchi kwa matakwa yenu badala ya katiba na sheria? Kama hamtaki kua waumini wa mifumo yake, kwanini msikae kimya na kama kuna kitu mkamwambie ndani ya vikao vya chama?
Tuache unafki, tumuache Mama aamue kufanya anachoona kinafaa kwa manufaa ya taifa.
#Kazi iendelee!
Kufikiria u-Zanzibar na Utanganyika ni primitive nonsense. Mhe. Samia ni Mtanzania, ni Mkuu wa nchi,Rais na Amiri Jeshi Mkuu. Na ataendelea kuongoza kwa mujibu wa Katiba.🙏🙏Sio lazima agombee Tanganyika, akagombee huko kwao Zanzibar, mbona rahisi tu.
Kwao kupndwa ni kusifia kwa kila jamboMtu akipingwa anakuwa hapendwi ndo unavyomaanisha?
Good 100%Sio lazima agombee Tanganyika, akagombee huko kwao Zanzibar, mbona rahisi tu.
Walimtaka Bashiru awe CIC. Watu wa ajabu sana hawa.Ninashangaa kuona kuna vikundi vya kijinga ndani ya chama changu cha CCM vinajifanya kua wajuaji sana na kwa wao ndio wanaojua sana nchi kwakua walikua sehemu ya utawala wa awamu ya 5. Vigenge hivi vinajifanya kua active kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya awamu ya 6, utafikiri mama hakua sehemu ya utawala wa awamu ya 5.
SWALI LANGU: Kama katiba inasema Rais aliyeko madarakani akifariki basi makamu wa Rais kuapishwa kua Rais kuendeleza gurudumu, hivi baada ya JPM kufariki dunia walitaka nani awe Rais na kwa utaratibu upi? Mnataka kusema kua JPM alikua na makosa kumteua Rais Samia enzi hizo kua Makamu wake mara mbili mfululizo? Hamjui kabisa kua hata Rais Samia ni mteule wa JPM awamu zote mbili mfululizo?
Mnachowewesekea ni nini? Mnataka Mama aendeshe nchi kwa matakwa yenu badala ya katiba na sheria? Kama hamtaki kua waumini wa mifumo yake, kwanini msikae kimya na kama kuna kitu mkamwambie ndani ya vikao vya chama?
Tuache unafki, tumuache Mama aamue kufanya anachoona kinafaa kwa manufaa ya taifa.
#Kazi iendelee!
Hawa Ni mbwa tu ,hawana jeuli ya kumzuia Samia asitekeleze majukumu yake,Ninashangaa kuona kuna vikundi vya kijinga ndani ya chama changu cha CCM vinajifanya kua wajuaji sana na kwa wao ndio wanaojua sana nchi kwakua walikua sehemu ya utawala wa awamu ya 5. Vigenge hivi vinajifanya kua active kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya awamu ya 6, utafikiri mama hakua sehemu ya utawala wa awamu ya 5.
SWALI LANGU: Kama katiba inasema Rais aliyeko madarakani akifariki basi makamu wa Rais kuapishwa kua Rais kuendeleza gurudumu, hivi baada ya JPM kufariki dunia walitaka nani awe Rais na kwa utaratibu upi? Mnataka kusema kua JPM alikua na makosa kumteua Rais Samia enzi hizo kua Makamu wake mara mbili mfululizo? Hamjui kabisa kua hata Rais Samia ni mteule wa JPM awamu zote mbili mfululizo?
Mnachowewesekea ni nini? Mnataka Mama aendeshe nchi kwa matakwa yenu badala ya katiba na sheria? Kama hamtaki kua waumini wa mifumo yake, kwanini msikae kimya na kama kuna kitu mkamwambie ndani ya vikao vya chama?
Tuache unafki, tumuache Mama aamue kufanya anachoona kinafaa kwa manufaa ya taifa.
#Kazi iendelee!
Mngempinga dikteta magufuli kipindi kileMtu akipingwa anakuwa hapendwi ndo unavyomaanisha?
Wema Sepetu
Kwaiyo ulitaka arumdishe bwanaako ?! Kenge nyinyi msimpangie Rais Samia Cha kufanya, nyie Rais wenu kazikwa chatttttleMama anajiharibia mwenyewe tu kitendo cha kumrudisha makamba wizaran ikNibidi niachane naye nikajua kuna mtu atakuwa ana8ngaza hii nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulimpinga kweli kweli, akatuua kwelikweliMngempinga dikteta magufuli kipindi kile
Jiwe alikuwa akipingwa anasema ametukanwa matusi!Mtu akipingwa anakuwa hapendwi ndo unavyomaanisha?
Ninashangaa kuona kuna vikundi vya kijinga ndani ya chama changu cha CCM vinajifanya kua wajuaji sana na kwa wao ndio wanaojua sana nchi kwakua walikua sehemu ya utawala wa awamu ya 5. Vigenge hivi vinajifanya kua active kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya awamu ya 6, utafikiri mama hakua sehemu ya utawala wa awamu ya 5.
SWALI LANGU: Kama katiba inasema Rais aliyeko madarakani akifariki basi makamu wa Rais kuapishwa kua Rais kuendeleza gurudumu, hivi baada ya JPM kufariki dunia walitaka nani awe Rais na kwa utaratibu upi? Mnataka kusema kua JPM alikua na makosa kumteua Rais Samia enzi hizo kua Makamu wake mara mbili mfululizo? Hamjui kabisa kua hata Rais Samia ni mteule wa JPM awamu zote mbili mfululizo?
Mnachowewesekea ni nini? Mnataka Mama aendeshe nchi kwa matakwa yenu badala ya katiba na sheria? Kama hamtaki kua waumini wa mifumo yake, kwanini msikae kimya na kama kuna kitu mkamwambie ndani ya vikao vya chama?
Tuache unafki, tumuache Mama aamue kufanya anachoona kinafaa kwa manufaa ya taifa.
#Kazi iendelee!
Kwani makamba kafanya nini ? Au kwa vile humpendi wewe basi unataka kila mtu amchukieMama anajiharibia mwenyewe tu kitendo cha kumrudisha makamba wizaran ikNibidi niachane naye nikajua kuna mtu atakuwa ana8ngaza hii nchi
Sent using Jamii Forums mobile app