CCM msiompenda Mama Samia, mlitaka nani awe Rais baada ya Hayati Magufuli kufariki?

Nahisi huruma kwa mama maana kuna miradi ela hakuna je mama apate wapi izo ela Basi waseme hadharani wapi wakuzipata ela ili mama hasikope alafu inaamana mama anakosea tu kuliko uongozi uliyopita?
Hela za miradi huko umeenda mbali, magari ya polisi na ya wagonjwa yameanza kukosa mafuta! Kama kuna una rafiki anafanya kazi kuanzia zahanati au hata kituo cha afya cha serikali muulize mwezi wa 2 mlipata shilingi ngapi za basket fund na mwezi huu wa 12 kiasi gani mmepewa! Happ ndio ujue kuwa Hangaya msoga wameamua kumshona kidonda bila ganzi!
 
WanaCCM wanasema walitaka Ndugai awe rais wao, na 2025 wamejipanga kutaka kumpa kiti cha urais.

Tunza haya maneno yangu.
 
shida tunayoiona leo inaletwa na watu wachache ndani ya CCM,- Polepole, Ndugai, na wengineo mnaowafahamu. Hawa watu wafukuzwe uanachama ili waweze kuendelea kupambania wanachoamini nje ya mfumo
 
Sio lazima agombee Tanganyika, akagombee huko kwao Zanzibar, mbona rahisi tu.
Kufikiria u-Zanzibar na Utanganyika ni primitive nonsense. Mhe. Samia ni Mtanzania, ni Mkuu wa nchi,Rais na Amiri Jeshi Mkuu. Na ataendelea kuongoza kwa mujibu wa Katiba.🙏🙏
 
Walimtaka Bashiru awe CIC. Watu wa ajabu sana hawa.
 
Hawa Ni mbwa tu ,hawana jeuli ya kumzuia Samia asitekeleze majukumu yake,

Watapiga kelele mwisho watatulia,wakileta fyokofyoko watavunjwa mafupa yao ya mgongo
 
Mkuu mbona unauliza maswali obvious? Kuna kichwa nchi hii kama Ndugai? Mambo aliyofanya na anayoendelea kufanya hayajawahi tokea na hayatakaa yatokee. Ni mara chache kusikia mtu anapinga kukopa hata kama mkopo ulimpeleka kutibiwa. Umesahau namna alivyokuwa jasiri kuwa mlinzi wa wabunge waliyonyanyaswa na vyama vyao kwa kuvuliwa uanachama?
Huyu ndiye mtu pekee aliyestahili kurithi jabali la siasa za kikanda na mla damu mbichi za majirani mwendazake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…