Mimi siyo nabii wala mtume, lakini huwa nairuhusi akili yangu iamue haki hata kama itaniumiza mwenyewe
Ukweli Rais Samia anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani wakati hakubaliki
Kuanzia Uanamke wake, Uzanzibar wake, na hata style yake ya uongozi
Hapa siwezi kuzungumzia dini ingawa kuna baadhi ya Viongozi wa dini hasa Waisilamu wanajallibu kwa maslai yao kwa makusudi kumtetea kwa kisingizio cha kuvuruga amani.
Sasa unajiuliza nani anayevuruga amani.
Rais samia na Serikali yake ambayo kila siku watu wanatekwa na kuuwawa pasipokuwa na majibu au wale wanayepingana na kuilazimisha Serikali itende haki kama Gwajima?
Au ni Tundu Lissu anayetaka Tanzania iingie kwenye uchaguzi ikiwa na Tume huru ya uchaguzi isiyopendelea upande wowote
Au samia anayetaka tuingia kwenye uchaguzi kwa sheria zinazompendele yeye?
Hili jibu ambalo linajibiwa na serikali kwa kuwakamata tena wanaotaka haki ndilo linalojenga chuki kubwa dhidi ya serikali.
kiujumla CCM imechafukwa,Inakataliwa waziwazi,Viongozi wanalazimisha kuwahonga watu wawapende,
tunaenda kuona chuki kubwa kabisa katika kipindi cha uchaguzi maana hata kama CCM watatumia watu maarufu, wasanii, Mapolisi wanaenda kukutana na aibu kubwa kabisa ya kuzomewa kutukanwa na hata kupatwa na madhara makubwa,niseme naende kuona inchi ikilipuka.
Na hata baada ya CCM kushinda kwa hila tutaenda kuona mauaji yakiongezeka,wapinzani wakitendewa vibaya, vita kati ya Kanisa na serikali na wenda tukaingia katika vurugu za kidini na haya yote yanapandikizwa na mtu mmoja ambaye yeye anawaza tu madaraka wakati inchi imemshinda.