Kwa akili zako nani anapoteza watu? Unadhani wamejazwa pale Lumumba stoo?Elezea tukuelewe
Wenyewe ndio wanapoteza, huyo mnaye mlaumu katiba inasema ni alama tu ya taasisi, jiulize watawala ni kina nani?

Okay ngoja niendelew kutafakariKwa akili zako nani anapoteza watu? Unadhani wamejazwa pale Lumumba stoo?
Wenyewe ndio wanapoteza, huyo mnaye mlaumu katiba inasema ni alama tu ya taasisi, jiulize watawala ni kina nani?
Serikali iko chini ya majeshi ya ccm, nchi utaiona hivyo hivyo mpaka unaenda kaburini.
Hao walioko kwenye majukwaa hawaendeshi nchi hii, kajifunze urudi urekebishe uzi wako.
Mbona hata mtoto mdogo anajua anayewapoteza watu ni ChademaHahaha, sasa unge ongeza jicho uwe na manne kisha uone hao wanapotezwa ni nani anawapoteza, utaelewa tu.
Sisi tunasema huko CCM hakuna mwingine anayekubalika zaidi ya Samia,maana watu wamemchokaTatizo lenu mnatumia njia zisizofaa za kufikisha ujumbe. Humu mitandaoni wanaoingia hawafiki hata milioni tano nchi nzima.
Samia anajenga viwanja viwili vya mpira katika mikoa ya Tanzania, maana yake wale wapenda mpira wa nchi hii ambao wanaweza kuwa na idadi ya watu milioni 35 tayari keshaiteka mioyo yao.
Hakuna mradi alioacha hayati JPM ambao Samia hajaugusa, karibu miradi yote anaimalizia muda huu, wenye akili timamu wanaangalia ilani ya uchaguzi inatekelezwa vipi Samia anatekeleza kifungu kimoja baada ya kingine.
Unapoteza muda wako kujenga chuki mwaka wa uchaguzi wakati miaka mingineyo Samia kaitumia katika kusimamia utekelezaji wa ilani.
Hili lipo waziMimi siyo nabii wala mtume, lakini huwa nairuhusi akili yangu iamue haki hata kama itaniumiza mwenyewe
Ukweli Rais Samia anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani wakati hakubaliki
Kuanzia Uanamke wake, Uzanzibar wake, na hata style yake ya uongozi
Hapa siwezi kuzungumzia dini ingawa kuna baadhi ya Viongozi wa dini hasa Waisilamuwanajallibu kwa maslai yao kwa makusudi kumtetea kwa kisingizio cha kuvuruga amani.
Sasa unajiuliza nani anayevuruga amani.
Rais samia na Serikali yake ambayo kila siku watu wanatekwa na kuuwawa pasipokuwa na majibu au wale wanayepingana na kuilazimisha Serikali itende haki kama Gwajima?
Au ni Tundu Lissu anayetaka Tanzania iingie kwenye uchaguzi ikiwa na Tume huru ya uchaguzi isiyopendelea upande wowote
Au samia anayetaka tuingia kwenye uchaguzi kwa sheria zinazompendele yeye?
Hili jibu ambalo linajibiwa na serikali kwa kuwakamata tena wanaotaka haki ndilo linalojenga chuki kubwa dhidi ya serikali.
kiujumla CCM imechafukwa,Inakataliwa waziwazi,Viongozi wanalazimisha kuwahonga watu wawapende,
tunaenda kuona chuki kubwa kabisa katika kipindi cha uchaguzi maana hata kama CCM watatumia watu maarufu, wasanii, Mapolisi wanaenda kukutana na aibu kubwa kabisa ya kuzomewa kutukanwa na hata kupatwa na madhara makubwa,niseme naende kuona inchi ikilipuka.
Na hata baada ya CCM kushinda kwa hila tutaenda kuona mauaji yakiongezeka,wapinzani wakitendewa vibaya, vita kati ya Kanisa na serikali na wenda tukaingia katika vurugu za kidini na haya yote yanapandikizwa na mtu mmoja ambaye yeye anawaza tu madaraka wakati inchi imemshinda.
Mfumo unatumiwa na mtu.Tatizo sio samiah Bali mfumo!
Mbona wenzie walipita na huo huo mfumoTatizo sio samiah Bali mfumo!
Ni kweli hawa chadema ambao hawana ruzuku, wanaomiliki majeshi nchi nzima, mahakama, mahabusu na magereza, wanakamata na kuwafunga wafuasi wao chadema itashindwa vipi kuteka, kupiga, na kupoteza wafuasi wake wenyewe?Mbona hata mtoto mdogo anajua anayewapoteza watu ni Chadema
Acha kuvamia kazi ya uchawa ,Tatizo lenu mnatumia njia zisizofaa za kufikisha ujumbe. Humu mitandaoni wanaoingia hawafiki hata milioni tano nchi nzima.
Samia anajenga viwanja viwili vya mpira katika mikoa ya Tanzania, maana yake wale wapenda mpira wa nchi hii ambao wanaweza kuwa na idadi ya watu milioni 35 tayari keshaiteka mioyo yao.
Hakuna mradi alioacha hayati JPM ambao Samia hajaugusa, karibu miradi yote anaimalizia muda huu, wenye akili timamu wanaangalia ilani ya uchaguzi inatekelezwa vipi Samia anatekeleza kifungu kimoja baada ya kingine.
Unapoteza muda wako kujenga chuki mwaka wa uchaguzi wakati miaka mingineyo Samia kaitumia katika kusimamia utekelezaji wa ilani.
Umedandia Uzi,au huna akili.Tunahoji nani anateka na kuua watu??Au ndo maendeleo hayo??Tatizo lenu mnatumia njia zisizofaa za kufikisha ujumbe. Humu mitandaoni wanaoingia hawafiki hata milioni tano nchi nzima.
Samia anajenga viwanja viwili vya mpira katika mikoa ya Tanzania, maana yake wale wapenda mpira wa nchi hii ambao wanaweza kuwa na idadi ya watu milioni 35 tayari keshaiteka mioyo yao.
Hakuna mradi alioacha hayati JPM ambao Samia hajaugusa, karibu miradi yote anaimalizia muda huu, wenye akili timamu wanaangalia ilani ya uchaguzi inatekelezwa vipi Samia anatekeleza kifungu kimoja baada ya kingine.
Unapoteza muda wako kujenga chuki mwaka wa uchaguzi wakati miaka mingineyo Samia kaitumia katika kusimamia utekelezaji wa ilani.
kabisa unahitaji mabadiliko ya haraka sana ,saizi maneno kama mzanzibari ,muislam,mkristo ,tanganyika yanatumika sana ikiendelea ivi tujiandae na mpasuko mkubwaTatizo sio samiah Bali mfumo!
NO REFORMS NO ELECTIONMimi siyo nabii wala mtume, lakini huwa nairuhusi akili yangu iamue haki hata kama itaniumiza mwenyewe
Ukweli Rais Samia anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani wakati hakubaliki
Kuanzia Uanamke wake, Uzanzibar wake, na hata style yake ya uongozi
Hapa siwezi kuzungumzia dini ingawa kuna baadhi ya Viongozi wa dini hasa Waisilamu wanajallibu kwa maslai yao kwa makusudi kumtetea kwa kisingizio cha kuvuruga amani.
Sasa unajiuliza nani anayevuruga amani.
Rais samia na Serikali yake ambayo kila siku watu wanatekwa na kuuwawa pasipokuwa na majibu au wale wanayepingana na kuilazimisha Serikali itende haki kama Gwajima?
Au ni Tundu Lissu anayetaka Tanzania iingie kwenye uchaguzi ikiwa na Tume huru ya uchaguzi isiyopendelea upande wowote
Au samia anayetaka tuingia kwenye uchaguzi kwa sheria zinazompendele yeye?
Hili jibu ambalo linajibiwa na serikali kwa kuwakamata tena wanaotaka haki ndilo linalojenga chuki kubwa dhidi ya serikali.
kiujumla CCM imechafukwa,Inakataliwa waziwazi,Viongozi wanalazimisha kuwahonga watu wawapende,
tunaenda kuona chuki kubwa kabisa katika kipindi cha uchaguzi maana hata kama CCM watatumia watu maarufu, wasanii, Mapolisi wanaenda kukutana na aibu kubwa kabisa ya kuzomewa kutukanwa na hata kupatwa na madhara makubwa,niseme naende kuona inchi ikilipuka.
Na hata baada ya CCM kushinda kwa hila tutaenda kuona mauaji yakiongezeka,wapinzani wakitendewa vibaya, vita kati ya Kanisa na serikali na wenda tukaingia katika vurugu za kidini na haya yote yanapandikizwa na mtu mmoja ambaye yeye anawaza tu madaraka wakati inchi imemshinda.
Bila mabadiliko hamna uchaguziMimi siyo nabii wala mtume, lakini huwa nairuhusi akili yangu iamue haki hata kama itaniumiza mwenyewe

Waliharibu sana!ni vile hujui TU!Kuna ufisadi,uonevu,mauaji,matakwa binafsi!!!Mbona wenzie walipita na huo huo mfumo
Labda wewe ni mgeni Tanzania hii, ila sisi wenyeji hatujawahi kuona watanzania wakiishinda serikali, nitasubiri nione, na hili likitokea nahama nchi.Nilikuwa sifahamu kuwa Watu wenye akili kama hizi ulizonazo bado wapo hapa duniani.
Nakushauri ukasome Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, Ibara ya 8 (1) (a) & (c).
Kumbuka: Uzoefu kutoka duniani kote kabisa unaonyesha kwamba Umma kamwe haujawahi kushindwa jambo lolote lile pale Umma huo unapoamua kwa dhati kabisa ya mioyo yao kutekeleza jambo hilo
Labda wewe ni mgeni Tanzania hii, ila sisi wenyeji hatujawahi kuona watanzania wakiishinda serikali, nitasubiri nione, na hili likitokea nahama nchi.
Watanzani hawa hawa wanaoogopa mabomu ya machozi au watanzania gani unaowaongelea wewe?