Isambaratike mara ngapi?Mimi siyo nabii wala mtume,lakini huwa nairuhusi akili yangu iamue haki hata kama itaniumiza mwenyewe
Ukweli Rais Samia anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani wakati hakubaliki
Kuanzia Uanamke wake,Uzanzibar wake,na hata style yake ya uongozi
Hapa siwezi kuzungumzia dini ingawa kuna baadhi ya Viongozi wa dini hasa Waisilamuwanajallibu kwa maslai yao kwa makusudi kumtetea kwa kisingizio cha kuvuruga amani,
Sasa unajiuliza nani anayevuruga amani,
Rais samia na Serikali yake ambayo kila siku watu wanatekwa na kuuwawa pasipokuwa na majibu au wale wanayepingana na kuilazimisha Serikali itende haki kama Gwajima?
Au ni Tundu Lissu anayetaka Tanzania iingie kwenye uchaguzi ikiwa na Tume huru ya uchaguzi isiyopendelea upande wowote
Au samia anayetaka tuingia kwenye uchaguzi kwa sheria zinazompendele yeye?
Hili jibu ambalo linajibiwa na serikali kwa kuwakamata tena wanaotaka haki ndilo linalojenga chuki kubwa dhidi ya selikari,
kiujumla CCM imechafukwa,Inakataliwa waziwazi,Viongozi wanalazimisha kuwahonga watu wawapende,
tunaenda kuona chuki kubwa kabisa katika kipindi cha uchaguzi,
maana hata kama CCM watatumia watu maarufu,wasanii,Mapolisi wanaenda kukutana na aibu kubwa kabisa ya kuzomewa kutukanwa na hata kupatwa na madhara makubwa,niseme naende kuona inchi ikilipuka
Na hata baada ya CCM kushinda kwa hila tutaenda kuona mauaji yakiongezeka,wapinzani wakitendewa vibaya,vita kati ya Kanisa na serikali na wenda tukaingia katika vurugu za kidini na haya yote yanapandikizwa na mtu mmoja ambaye yeye anawaza tu madaraka wakati inchi imemshinda
Sio yanatafuta kamteremkoMaji utafuta njia dhaifu kutengeneza njia
Sio yanatafuta kamteremko
Au ni Tundu Lissu anayetaka Tanzania iingie kwenye uchaguzi ikiwa na Tume huru ya uchaguzi isiyopendelea upande wowote
Au samia anayetaka tuingia kwenye uchaguzi kwa sheria zinazompendele yeye?
Tandahimba kwa kina HamoNingekua najua kuchora ningechura lkn somo la art lilinipitia kusho. Maana yake ni kwamba Mmoja kati ya hivyo vitu viwili, njia moja inakwenda Kazuramimba Kigoma na njia nyingine inakwenda kule kwao na Harmonize uelekeo wa kwenda Msumbiji,ni dhahiri kwamba hawawezi kukutana
Elezea tukueleweSerikali iko chini ya majeshi ya ccm, nchi utaiona hivyo hivyo mpaka unaenda kaburini.
Hao walioko kwenye majukwaa hawaendeshi nchi hii, kajifunze urudi urekebishe uzi wako.
Tunajalibu kusema kile tunachokiona kwa jicho la tatu,mpaka sasa wamepotea watu 88 hilo jeshi limesaidia nini?Serikali iko chini ya majeshi ya ccm, nchi utaiona hivyo hivyo mpaka unaenda kaburini.
Hao walioko kwenye majukwaa hawaendeshi nchi hii, kajifunze urudi urekebishe uzi wako.
Mijinga siku zote huwa akubali kukosolewaKama unataka atoke madarakani ingia barabarani dogo acha kubweka nyuma ya Keyboard
Hahaha, sasa unge ongeza jicho uwe na manne kisha uone hao wanapotezwa ni nani anawapoteza, utaelewa tu.Tunajalibu kusema kile tunachokiona kwa jicho la tatu,mpaka sasa wamepotea watu 88 hilo jeshi limesaidia nini?
Tatizo lenu mnatumia njia zisizofaa za kufikisha ujumbe. Humu mitandaoni wanaoingia hawafiki hata milioni tano nchi nzima.Mimi siyo nabii wala mtume,lakini huwa nairuhusi akili yangu iamue haki hata kama itaniumiza mwenyewe
Ukweli Rais Samia anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani wakati hakubaliki
Kuanzia Uanamke wake,Uzanzibar wake,na hata style yake ya uongozi
Hapa siwezi kuzungumzia dini ingawa kuna baadhi ya Viongozi wa dini hasa Waisilamuwanajallibu kwa maslai yao kwa makusudi kumtetea kwa kisingizio cha kuvuruga amani,
Sasa unajiuliza nani anayevuruga amani,
Rais samia na Serikali yake ambayo kila siku watu wanatekwa na kuuwawa pasipokuwa na majibu au wale wanayepingana na kuilazimisha Serikali itende haki kama Gwajima?
Au ni Tundu Lissu anayetaka Tanzania iingie kwenye uchaguzi ikiwa na Tume huru ya uchaguzi isiyopendelea upande wowote
Au samia anayetaka tuingia kwenye uchaguzi kwa sheria zinazompendele yeye?
Hili jibu ambalo linajibiwa na serikali kwa kuwakamata tena wanaotaka haki ndilo linalojenga chuki kubwa dhidi ya selikari,
kiujumla CCM imechafukwa,Inakataliwa waziwazi,Viongozi wanalazimisha kuwahonga watu wawapende,
tunaenda kuona chuki kubwa kabisa katika kipindi cha uchaguzi,
maana hata kama CCM watatumia watu maarufu,wasanii,Mapolisi wanaenda kukutana na aibu kubwa kabisa ya kuzomewa kutukanwa na hata kupatwa na madhara makubwa,niseme naende kuona inchi ikilipuka
Na hata baada ya CCM kushinda kwa hila tutaenda kuona mauaji yakiongezeka,wapinzani wakitendewa vibaya,vita kati ya Kanisa na serikali na wenda tukaingia katika vurugu za kidini na haya yote yanapandikizwa na mtu mmoja ambaye yeye anawaza tu madaraka wakati inchi imemshinda
Wajinga ni nyinyi mnaokuja na mbinu zile zile za miaka iliyopita katika kutaka kuiondoa CCM, sio kirahisi kama mnavyodhani.Mijinga siku zote huwa akubali kukosolewa