CCM msipombadilisha Rais Samia, Tanzania inaenda kusambaratika ndani ya Uongozi wake

Kwa akili zako nani anapoteza watu? Unadhani wamejazwa pale Lumumba stoo?

Wenyewe ndio wanapoteza, huyo mnaye mlaumu katiba inasema ni alama tu ya taasisi, jiulize watawala ni kina nani?
Okay ngoja niendelew kutafakari
 
Serikali iko chini ya majeshi ya ccm, nchi utaiona hivyo hivyo mpaka unaenda kaburini.

Hao walioko kwenye majukwaa hawaendeshi nchi hii, kajifunze urudi urekebishe uzi wako.


Nilikuwa sifahamu kuwa Watu wenye akili kama hizi ulizonazo bado wapo hapa duniani.


Nakushauri ukasome Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, Ibara ya 8 (1) (a) & (c).

Kumbuka: Uzoefu kutoka duniani kote kabisa unaonyesha kwamba Umma kamwe haujawahi kushindwa jambo lolote lile pale Umma huo unapoamua kwa dhati kabisa ya mioyo yao kutekeleza jambo hilo
 
Hahaha, sasa unge ongeza jicho uwe na manne kisha uone hao wanapotezwa ni nani anawapoteza, utaelewa tu.
Mbona hata mtoto mdogo anajua anayewapoteza watu ni Chadema
 
Sisi tunasema huko CCM hakuna mwingine anayekubalika zaidi ya Samia,maana watu wamemchoka
Mbona Magufuri kalibu kila mtu alimpenda na hakutumia nguvu kulamisha watu wampende
 
Hili lipo wazi
 
Mbona hata mtoto mdogo anajua anayewapoteza watu ni Chadema
Ni kweli hawa chadema ambao hawana ruzuku, wanaomiliki majeshi nchi nzima, mahakama, mahabusu na magereza, wanakamata na kuwafunga wafuasi wao chadema itashindwa vipi kuteka, kupiga, na kupoteza wafuasi wake wenyewe?

Hili halihitaji akili yoyote hata sisi ccm wendawazimu tunaliona hilo.
 
Acha kuvamia kazi ya uchawa ,
 
Umedandia Uzi,au huna akili.Tunahoji nani anateka na kuua watu??Au ndo maendeleo hayo??
 
NO REFORMS NO ELECTION
 
Bila mabadiliko hamna uchaguzi
 
Labda wewe ni mgeni Tanzania hii, ila sisi wenyeji hatujawahi kuona watanzania wakiishinda serikali, nitasubiri nione, na hili likitokea nahama nchi.

Watanzani hawa hawa wanaoogopa mabomu ya machozi au watanzania gani unaowaongelea wewe?
 
Labda wewe ni mgeni Tanzania hii, ila sisi wenyeji hatujawahi kuona watanzania wakiishinda serikali, nitasubiri nione, na hili likitokea nahama nchi.

Watanzani hawa hawa wanaoogopa mabomu ya machozi au watanzania gani unaowaongelea wewe?

Waingereza wana msemo wao kwamba "there is more than one way of skinning a cat."
 
Shida ya wanawake Wana inferiority complex wanashindwa kutofautisha uongozi na uanamke,wakishindwa fact hasa na jinsia ya kiume ujifichia kwenye defense mechanism ya inferiority complex " eti kwa sababu mimi ni mwanamke"
Uongozi hauna jinsia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…