Mkuu with all due respect umeandika hili andiko with poor reasoning.
Mama Samia ameleta mazingira ya mtu kufanya biasharaendelevuambapo wewe utaita urefu wa kamaba lakini kiuhalisia ni kufuata taratibu na sheria za mazingira ya kazi au biashara.
Nyie mliotegemezi wa kodi za bure, muone kazi anayoifanya mama kurudisha confidence ya wawekezaji.
Nimepita leo Quality Plaza, patupu!
Matokeo ya sera mbovu za mwendazake.
Kama muwekezaji ana mapungufu, suala ni kukaa naye chini ili yale yaliyogunduliwa yafanyiwe kazi.
Kukomoana, eti ndio serikali inafanya kazi, huo ni ushmba to sya the least!
Pale Quality Plaza kulikuwa na ajira nyingi, biashara nyingi , kodi nyingi!
Zimepotea.