CCM msitumie Machawa kumjibu LISSU, ni Heri kua kimya, Ubaya wa Lissu anazungumza Ukweli na Haki, ni ngumu mno kujibizana naye

Ccm ya Sasa wako mbali sana na haki.
 
kuna siku lisu alitoa mchango bungeni nadhani ilikuwa ni kuhusu utungaji wa sheria fulani, jamaa alimwaga nondo za maana, wabunge wa ccm wanakodoa macho tu, baada ya kukaa mwanasheria mkuu wa serikali wakat huo (late werema) akasimama akawaambia wabunge. (kwa haya madini aliyotoa lissu nasema wabunge mpigien lissu makofi) wabunge wa ccm walipiga makof kwa jambo ambalo kimsingi hawakulielewa.

lissu ni namba ingine jamani, mleta mada kamaliza yote.
 
CCM = Chama Cha Mazezeta. Mama kwa hivi sasa kashauriwa kuwa na wasaidizi / washauri wafuatao kuendesha nchi. 1. Doto Magari, Steve Nyerere, Mwijaku, Amber Rutty, Haji Manara, Mashehe kwa ajili ya uchawi, Shilole Sahani 6, na machangu wote wa bongo movie. Unafikiri tutafika wapi na washauri kama hawa?
 
Ccm tumekataa katiba mpya ambayo ingesaidia ku neutralize upinzani hats kwa serikali mseto kama kuke Zanzibar!

Tunasubiri Hadi Vyombo vya dola vichukie vitususe tupoteze Dola ndo tuanze kulia lia!!
Yaani Mbeleko ikichanika biashara ya kubeba mtoto imeishaa ????!! 🤣🤣 !
 
Hapo lazima ubaki Domo wazi.

LISSU hapo alivyo na akili, anapambana maeneo ya Mjini yenye watu wengi ,yapate Wabunge wengi, na Kwa kua mjini ni nyumban Kwa wapinzani, LISSU Anapambana sana kuhakikisha anakuja kupata Wabunge wa kutosha.
The guy is very bright
 
Hoja za Lissu siku zote zinataka majibu na sio Bla bla
 
Makam mwenyekiti chadema Mh Heche anasema kama gharama ya kwenda mbinguni ingekua elfu 20 , watanzania wengi tusingetoboa, ( namsubili m/mwenyekiti ccm kama yupo na ubavu ajibu tuone
 
Ni ngumu sana Kwa kweli kujibu hiz hoja zake... Mfano anauliza inakuwaje Zanzibar yenye wapiga kura 500000 iwakilishwe na wabunge 50? Wakati dare salaam yenye Zaid ya wapiga kura million tatu inawakilishwa na wabunge 10?
Zanzibar inatakiwa kuwa na wabunge watano tu wanatosha
 
Chawa wa Bongo movie ndiyo shida kubwa zaidi
 
Makam mwenyekiti chadema Mh Heche anasema kama gharama ya kwenda mbinguni ingekua elfu 20 , watanzania wengi tusingetoboa, ( namsubili m/mwenyekiti ccm kama yupo na ubavu ajibu tuone
Kikongwe wasira ana wakati mgumu kujibu hoja za Heche
 
Huo ni mtazamo wako sisi tunamwona mzushi, mropokaji na mwongo. Hiyo akili nyingi amevumbua au kutatua kitu gani? Ushabiki ndezi huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…