CCM mtaogopa siasa za wazi hadi lini?

Ndiyo maana nasema kinacho fanyika ndani ya CCM ni utashi wa anayekuwa madarakani,katiba ya JMT na ya CCM zote zimeyumba,athari za utashi wa mtu badala ya nguvu ya organs inaweza kulitumbukiza taifa kwenye nyakati nguvu
 
Cooked data
 
Kushinda uchaguzi by hooks and croocks haimaanishi hicho ni chama bora. Huenda neno ubora limepoteza maana yake siku hizi
Ubora wa ungepimwa kwa kushinda chaguzi kweli CCM ingekuwa bora sana,angalia aina ya chaguzi zetu huenda ndiyo chaguzi chafuzi mbaya sana kutokea duniani,votes za voters hazi determine mshindi,waliokaa mbele ya voters wasimamizi wa chaguzi ndiyo wanaamua nani kashinda bila kuzingatia idadi ya kura.

Na kwa kuwa refari wao ni vyombo vya usalama imesababisha kupoteza uhalali wa kuwa chama cha siasa.

Ndani yake anayesema malkia yuko uchi hata kama kweli yuko uchi atashughulikiwa ipasavyo kumuondoa kwenye motion.
 
Wanaopaswa kuwa chama cha mfano ni CDM kwa kuwa wamejifunza siasa za kisasa toka magharibi - ajabu ukipima uendeshaji wa CDM umekuwa wa kimwinyi - ukimgusa Mwenyekiti unatimuliwa @ Zitto, Mabrouk, Wangwe, Sumaye, Lowassa nk
 
Wanaopaswa kuwa chama cha mfano ni CDM kwa kuwa wamejifunza siasa za kisasa toka magharibi - ajabu ukipima uendeshaji wa CDM umekuwa wa kimwinyi - ukimgusa Mwenyekiti unatimuliwa @ Zitto, Mabrouk, Wangwe, Sumaye, Lowassa nk
No comparison kwenye mada hii,CDM hajatajwa humu ila kama unataka tufanye comparison lete mada tuichambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…