Akizungumza na waandishi wa habari kada wa CCM Salimu Nyomolelo, ameomba uchaguzi wa Wilaya ya Mufindi Kusini usifanyike usogezwe mbele ili uchunguzi ufanyike kwa mwenyekiti na Katibu, ikidaiwa mmoja wa Mgombea wa Jimbo la Mufindi Kusini alitoa Rushwa ya gari kwa Mwenyekiti na Katibu wa Chama hicho ikiwa ni rushwa na sababu ya wao kumpendelea.
Maombi hayo ni kwaajili ya haki kutendeka kwa wagombea katika kura maoni na kudai hali katika Jimbo la Mufindi Kusini ni mbaya
Maombi hayo ni kwaajili ya haki kutendeka kwa wagombea katika kura maoni na kudai hali katika Jimbo la Mufindi Kusini ni mbaya