GE2025 CCM Mungu hajalala, tukiendelea kuteua waovu anaweza angusha mtungi maji yote yakamwagika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PLOII

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,126
Reaction score
849
Amani iwe nanyi Wana Jukwaa ,

​
Nitaandika Kwa kifupi ili kila mmoja atoe mtazamo wake.​

Nchi yetu inaelekea kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais. Tumeshuhudia wafanyakazi wa Serikali ngazi mbalimbali wakiachia nafasi zao wakikimbilia kuomba kupendekezwa na Chama cha Mapinduzi.

Hiyo ni Ishara kuwa huko BUNGENI ni MINOFU TUPU na kujua hilo Rais Samia aliamua kuitisha Mkutano Mkuu na wakamaliza mzizi wa fitina wale waliotaka hiyo nafasi wakabaki na mihaho kwenye vichwa vyao.

Kiukweli tatizo kubwa lipo kwenye majina yanayopendekezwa mfano Paul Christian Makonda, Sabaya na n.k hawa watu record Yao ya utumishi wa Uma sio nzuri. Wajuvi wa mambo tunakumbuka Makonda alikuwa juu hata ya Waziri Mkuu alifanya chochote alichotaka. Mambo mengi yalifanywa na hawa vijana sio ya kutaja kabisa maana tutatonesha vidonda na hata alipopewa uenezi alisahau akazani yupo 2015-2020 Rais akampeleka Arusha kiukweli nje ya matamasha na wasteful hekaheka hakuna cha maana mfano Arusha haijawa Tourism Hub in East Africa kama alivyosema awali, ukuaji wa mapato ni kama wa kipindi cha Gambo , migogoro ya ardhi bado ipo pale pale n.k
Swali;
@) Hawa wenzetu wanaopendekeza haya majina ya watu wenye record ya maovu wanaishi na Wananchi au wapo Sayari ya Mars ?

b) Kama Chama hii system ya kikundi cha watu 30 kukaa sehem na kuamulia wanachama wote wa Kata na Jimbo is it healthy? Kwa nini tusingepewa nafasi ya kupiga Kura tuchague tunaowataka kama Chama mkapitia majina kulingana na mapendekezo ya wanachama walio wengi, vipi mkaleta watatu wasiohitajika na wanachama?

c) Nafasi ya mwanachama wa kawaida ni ipi ?

d) Tunajua watumishi wa umma hawana Chama je hawa ambao wanaacha nafasi zao wanaomba kupendekezwa ni lini walijiunga na Chama Cha Mapinduzi?

Tunakumbushana tu kuwa tunaweza Kwa nguvu tulizonazo na hakuna wa kusema tukapendekezana lakini kumbukeni our God is an awesome God, he reigns from heaven above with wisdom, power & love.

He can annihilate anyone because of evils & he can rise up anyone because of wisdom & love. This can be done at unexpected time. Mungu atasema na kila mmoja Kwa wakati wake kama unajua Una Jambo Kwa Watanzania njoo Kwa public omba radhi utakuwa umesamehewa Duniani na Mbinguni. Mnasababisha vimbunga na joto Kali na watu kuwa na Maisha magumu " mtu mwema akitawala watu hufurahi"

Ni ushauri tu ufanyiwe Kazi au tuendelee kama kawaida na nazani nimetaja majina mawili ila wapo wengi sampuli za akina Sabaya.

Niwatakie Jumapili Njema ndugu zangu​
 
1. Huo ni utaratibu wa ccm wenyewe na wamekubaliana, kwani ni lazima uwachague? Ndo maana kuna nafasi ya vyama vingne ambavyo vmesimamisha wagombea.

2. Kuhusu sabaya jr, mahakama imekwisha mfutia kila kosa, unachofanyia kazi ni uvumi na mihemko, sabaya ameshinda kesi kama ambavyo viongozi wengne wa chadema wamekuwa wakishinda kesi na mnawaita mashujaa, hvyo sabaya jr alishinda haki dhidi ya uvumi wa dhuluma.

3. Kuhusu makonda, hakuna aliyemfungulia mashtaka wala kuja na ushahidi wowote zaidi ya uvumi wa chadomo na magenge yake.

4. Chama cha ccm ni msimamizi wa viongozi wake serikalini kuanzia ngazi ya taifa hadi kitongoji/mtaa, hvyo makonda kama mwenezi wa ccm taifa, ana mamlaka ya kumuagiza yeyote atoe au atekeleze majukumu kama yupo chini yake, kumbuka waziri mkuu ni mjumbe tu na ni kiongozi atokanaye na ccm, hivyo kwa mjibu wa katiba ya ccm anao wajibu wa kupokea maelekezo ya chama na kutoa ripoti ya utekelezi kwa viongozi wake akiwemo mwenezi taifa.

5. Huwezi kutubu dhambi kwa wenye dhambi.
 
Nazani na wewe upo kwenye Sayari ya Mars, Waziri Mkuu kama Mtendaji Mkuu wa shughuli za Serikali halazimiki kutoa ufafanuzi Kwa Katibu Mwenezi bali Mwenezi anatakiwa kutoa Changamoto Kwa Mtendaji Mkuu ili kutafuta suluhu.

Kama Mahakama ilitoa uamuzi vipi Yale mashamba yaliyofyekwa, Mali za watu zilizochukuliwa Kwa lazima , vilio vya watu Kwa kupigwa na kupokonywa Mali zao?
Msanii Nandy alishamsamehe Kwa alichotaka kufanya?
According to Rostam Aziz " elite power" .....

Kuna wakati tusiwe tunatetea maovu huku wote tunawajibu wa kuwatumikia Wananchi na kuleta ustawi kwenye Taifa letu. NI juzi tu hapa Makonda aligundilika kufanya UHUNI wa kumiliki Nyumba illegally. Imagine GSM was me what could happen?
Na alitumia uongo kuwa Rais Magufuli alitaka kujengewa such kind of a leader is useless.
 
Umeelewa hoja zangu hapo?
Nmekwamby waziri mkuu kama mtendaji mkuu wa serikali inayoongozwa na ccm, anawajibika kutoa ripotikwa kwa ccm akiwemo mwenezi
 
Nazani na wewe upo kwenye Sayari ya Mars, Waziri Mkuu kama Mtendaji Mkuu wa shughuli za Serikali halazimiki kutoa ufafanuzi Kwa Katibu Mwenezi bali Mwenezi anatakiwa kutoa Changamoto Kwa Mtendaji Mkuu ili kutafuta suluhu.

Kama Mahakama ilitoa uamuzi vipi Yale mashamba yaliyofyekwa,
Na alitumia uongo kuwa Rais Magufuli alitaka kujengewa such kind of a leader is useless.
Ndyo maan hata katika mkutano mkuu wa ccm taifa waziri mkuu hulazimika kutoa ripoti ya utekelezaji wa ilani mbele ya mabosi wake akiwemo katibu mwenezi! Kwa nini katibu mwenezi hatoi ripoti kwa pm badala yake inakuwa kinyume?

Kuhusu mambo ya mahakama, UNAJUA KUWA HAKUNA MTU MWENYE MAMLAKA KUINGILIA MAMALAKA YA MHIMILI WA MAHAKAMA..

all in all makonda is a good leader despite ya madhaifu yake ambayo ni hali ya kila binadamu.
 
Utumishi wa umma kama utumishi unaruhusu kuwa mwanachama ila haurusu kuchagukiwa kuwa kiongozi wa chama ngazi yeyote. Maana yake hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi huruhusiwi kama kiongozi wa Umma. Pia husuhusiwi kutoa huduma kwa upendeleo wowote kisa itikadi za vyama au kuvaa sare za chama muda wa kazi. Sehemu ambazo ni marufuku kabisa kwa uelewa wanguni jeshini. Nikiwa namaanisha jeshi la Wananchi, Polisi na Magereza, Uhamiaji, Usalama na Zimamoto. Wafanyakazi wa Bunge na Mahakama sijajua sheria zao za utumishi zinasemaje.
 
Amani iwe nanyi Wana Jukwaa ,

​
Nitaandika Kwa kifupi ili kila mmoja atoe mtazamo wake.​

Nchi yetu inaelekea kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais. Tumeshuhudia wafanyakazi wa Serikali ngazi mbalimbali wakiachia nafasi zao wakikimbilia kuomba kupendekezwa na Chama cha Mapinduzi.

Hiyo ni Ishara kuwa huko BUNGENI ni MINOFU TUPU na kujua hilo Rais Samia aliamua kuitisha Mkutano Mkuu na wakamaliza mzizi wa fitina wale waliotaka hiyo nafasi wakabaki na mihaho kwenye vichwa vyao.

Kiukweli tatizo kubwa lipo kwenye majina yanayopendekezwa mfano Paul Christian Makonda, Sabaya na n.k hawa watu record Yao ya utumishi wa Uma sio nzuri. Wajuvi wa mambo tunakumbuka Makonda alikuwa juu hata ya Waziri Mkuu alifanya chochote alichotaka. Mambo mengi yalifanywa na hawa vijana sio ya kutaja kabisa maana tutatonesha vidonda na hata alipopewa uenezi alisahau akazani yupo 2015-2020 Rais akampeleka Arusha kiukweli nje ya matamasha na wasteful hekaheka hakuna cha maana mfano Arusha haijawa Tourism Hub in East Africa kama alivyosema awali, ukuaji wa mapato ni kama wa kipindi cha Gambo , migogoro ya ardhi bado ipo pale pale n.k
Swali;
@) Hawa wenzetu wanaopendekeza haya majina ya watu wenye record ya maovu wanaishi na Wananchi au wapo Sayari ya Mars ?

b) Kama Chama hii system ya kikundi cha watu 30 kukaa sehem na kuamulia wanachama wote wa Kata na Jimbo is it healthy? Kwa nini tusingepewa nafasi ya kupiga Kura tuchague tunaowataka kama Chama mkapitia majina kulingana na mapendekezo ya wanachama walio wengi, vipi mkaleta watatu wasiohitajika na wanachama?

c) Nafasi ya mwanachama wa kawaida ni ipi ?

d) Tunajua watumishi wa umma hawana Chama je hawa ambao wanaacha nafasi zao wanaomba kupendekezwa ni lini walijiunga na Chama Cha Mapinduzi?

Tunakumbushana tu kuwa tunaweza Kwa nguvu tulizonazo na hakuna wa kusema tukapendekezana lakini kumbukeni our God is an awesome God, he reigns from heaven above with wisdom, power & love.

He can annihilate anyone because of evils & he can rise up anyone because of wisdom & love. This can be done at unexpected time. Mungu atasema na kila mmoja Kwa wakati wake kama unajua Una Jambo Kwa Watanzania njoo Kwa public omba radhi utakuwa umesamehewa Duniani na Mbinguni. Mnasababisha vimbunga na joto Kali na watu kuwa na Maisha magumu " mtu mwema akitawala watu hufurahi"

Ni ushauri tu ufanyiwe Kazi au tuendelee kama kawaida na nazani nimetaja majina mawili ila wapo wengi sampuli za akina Sabaya.

Niwatakie Jumapili Njema ndugu zangu​
 
Ndyo maan hata katika mkutano mkuu wa ccm taifa waziri mkuu hulazimika kutoa ripoti ya utekelezaji wa ilani mbele ya mabosi wake akiwemo katibu mwenezi! Kwa nini katibu mwenezi hatoi ripoti kwa pm badala yake inakuwa kinyume?

Kuhusu mambo ya mahakama, UNAJUA KUWA HAKUNA MTU MWENYE MAMLAKA KUINGILIA MAMALAKA YA MHIMILI WA MAHAKAMA..

all in all makonda is a good leader despite ya madhaifu yake ambayo ni hali ya kila binadamu.
Makonda ni jangili...hana uzuri wowote. CCM iko hivi ukiwa na akili kichwani hawakakubali wanakufyeka wanataka wale walio matahira ili kila watakalofanya lisihojiwe wala kuwajibishwa.. Yan kwao mtu anaewachallenge ni mtu mbaya sababu wapo pale kwa maslahi yao binafsi ndio mana watu wanataka reforms. Wamekata watu wanaotaka na wananchi sasa hapo nguvu ya wananchi iko wapi ? Kwa Tanzania kundi la watu wachache linakula keki ya taifa na watu linalowataka wao na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom