Uchaguzi 2020 CCM mwaka huu kubalini kuwa Wananchi wamewakataa

Mmelazimisha sana ushindi, kupelekea mawaziri waandamizi kupita bila kupingwa kwenye majimbo yao. Madiwani wengi wamepata bila kupingwa. Unapomshinda mpinzani wako kwa 90% ni dalili ya kuwa mashindano yalikuwa na matatizo. Kuna kila dalili ya kuwa mshindani mmoja alitumia nguvu na mabavu kuupata ushindi...
Kuchagua CCM ni kujitakia matatizo kwenye familia yako
 
30/10 nitacheka Gen Mabeyo anapoenda kumtoa Meko Ikulu "wakubwa wamenipigia simu wanadai umeshindwa kura za uraisi na hutaki kutoka Ikulu..mimi nawajua mabeberu wanapigana vita na drones hatutawaweza"
 
Mmelazimisha sana ushindi, kupelekea mawaziri waandamizi kupita bila kupingwa kwenye majimbo yao. Madiwani wengi wamepata bila kupingwa. Unapomshinda mpinzani wako kwa 90% ni dalili ya kuwa mashindano yalikuwa na matatizo. Kuna kila dalili ya kuwa mshindani mmoja alitumia nguvu na mabavu kuupata ushindi...
CCM wajitafakari, muda wao wa kufanya siasa waliutumka vizuri,waliwapoteza na kuwajeruhi wapinzani.Wapinzani wa ndani na nje ya ccm.
Hivyo ni mda muafaka kukubaliana na matokeo.
 
Mmelazimisha sana ushindi, kupelekea mawaziri waandamizi kupita bila kupingwa kwenye majimbo yao. Madiwani wengi wamepata bila kupingwa. Unapomshinda mpinzani wako kwa 90% ni dalili ya kuwa mashindano yalikuwa na matatizo. Kuna kila dalili ya kuwa mshindani mmoja alitumia nguvu na mabavu kuupata ushindi...
Nimeamini kumbe ni kweli wakati mwingine hata saa mbovu ina onyesha muda sahihi!!! Kwani kwa WATZ, wanachokionyesha kwenye kampeni za mwaka huu, licha ya ccm, kuwa walijiaminisha kuwa hakuna upinzani, watasema tu, oneni, mindege, madaraja!

Kumbe walikuwa wana jidanganya!! Nasema sisi wana nchi twende tukapige kura za kimbunga hata kuiba wawe wana jishuku!!! Yaani inafikia hatua mnaona Bora mkoloni mweupe, kuliko hii mijitu mieusi wenzetu!!!
 
Back
Top Bottom