Uchaguzi 2020 CCM mwaka huu kubalini kuwa Wananchi wamewakataa

Uchaguzi 2020 CCM mwaka huu kubalini kuwa Wananchi wamewakataa

Tulia mama kwani uchaguzi tayari mbona unalalamika kabla ya siku yenyewe? Ata ivyo anza kuzitia maji mapema,ndo kujiandaa kwenyewe kisaikolojia.
 
Naamini maneno anayosema, na ushahidi ni yeye mwenyewe, maneno yake yalimfanya atembee kwa magoti!

Lissu not only just talks.the talk but also walks the walk. Bifu la maadili NEC 29/10 limeishia.wapi? Si wao wenyewe ndio wakaja kusema oooh sijui masaa 72 na mengine 48 ya kwake yeye! Swines!
 
Mmelazimisha sana ushindi, kupelekea mawaziri waandamizi kupita bila kupingwa kwenye majimbo yao. Madiwani wengi wamepata bila kupingwa. Unapomshinda mpinzani wako kwa 90% ni dalili ya kuwa mashindano yalikuwa na matatizo. Kuna kila dalili ya kuwa mshindani mmoja alitumia nguvu na mabavu kuupata ushindi.

Kampeni zenu mpaka mtumie gharama kubwa ya wasabi, watoto wa shule, watu kupewa 5,000, Kofia na T-shirts ndiyo waende kwenye mikutano. Hizi nguvu mnazotumia ni nyingi mno.

Kwenye sanduku la kura mnatumia vyombo vya dola kuchakachua ushindi. Utawala wenu ni wa kibabe, mnasema hadharani kuwa tusipochagua wabunge wa CCM hamleti maendeleo. CCM tumewachoka ondokeni madarakani.

Tundu Lissu ametutoka hofu. Ametuambia maandamano ndiyo sauti pekee tuliyonayo kama za Duku la kura litachakachuliwa. Hao wanajeshi na polisi ni Watanzania wenzetu hawsepipe kutuma wote. Wengine ni watoto wa dada na kaka zetu, majirani zetu.nk

Afadhali muondoke madarakani mkiwa na heshima kidogo mliyonayo kuliko kuvuliwa heshima yote iliyobaki.
Kwani shida wananchi.......This Is Africa
 
Meko anajuuuuuuuuuuta kumfahamu nguli wa masuala ya kisheria hapa TZ ambaye si mwingine bali ni Tuuuuuuundu Liiiiiiiiiiisu (in Chakubanga's voice)
 
Wanaokiharibu ccm ni mapolis, tume na Jpm mwenyewe.ubabe umezidi mnoo
 
Huyu anatafuta uwaziri anasahau alillialia kwa kunyooshewa bastola hadharani!Njaa mbaya sana.
njaa PLUS unafki...bila hayo (na yeye anayajua hayo vzr kbs) hata kupitishwa kugombea ubunge asingepitishwa!.

namkumbuka siku ile majasho yanamtoka anaenda ikulu kuomba "msamaha" wa kosa ambalo hajafanya huku akiwa anajichekesha chekesha.

Magu alisema jamaa alimtumia hadi Mama Nyerere ili aweze kuruhusiwa kumuona yesu huyo wa chato!.
 
We mama unauhakika na ukisemacho na unaimani cdm watashika hatamu ya nchi hii?
 
Hata wakichakachua matokeo wajue kuwa wanatawala wananchi wasio na furaha.
Sema watakuwa wanakitawala wewe mwananchi usiye na furaha,siyo wote wanaoishi kwa kumtegemea mwanasiasa kama cdm,utakufa unaloloma,siasa haijwahi kumkomboa mtu
 
ccm mpya hawakujua kula na vipofu. kwa miaka mingi hatukujali mambo ya ccm sababu tuliishi kwa amani na furaha. ccm ya magufuli inatawala watu kwa kuwajaza hofu.

uchaguzi wa mwaka huu ccm inakataliwa kwa nguvu kubwa sababu watu wamechoka kuishi kwa hofu. ccm ijiandae kukabidhi nchi kwa amani ama iondolewe kwa nguvu ya umma.
Hiyo ni ndoto ya mwandawazimu cdm kuchukua nchi hii,tafuta cha kufanya!!
 
Mmelazimisha sana ushindi, kupelekea mawaziri waandamizi kupita bila kupingwa kwenye majimbo yao. Madiwani wengi wamepata bila kupingwa. Unapomshinda mpinzani wako kwa 90% ni dalili ya kuwa mashindano yalikuwa na matatizo. Kuna kila dalili ya kuwa mshindani mmoja alitumia nguvu na mabavu kuupata ushindi...
Kumbe hebu tuone clip hii hapa chini.
 
Nasikia Majimboni wananchi wengi wanawakubali wagombea wa Chadema.
 
Hata wakichakachua matokeo wajue kuwa wanatawala wananchi wasio na furaha.
Na sisi hatutaki kutawaliwa tukiwa hatuna furaha, tunataka furaha. Na kamwe hatutaruhusu tupokwe furaha yetu. Mateso sasa basiiiiii.
 
Na sisi hatutaki kutawaliwa tukiwa hatuna furaha, tunataka furaha. Na kamwe hatutaruhusu tupokwe furaha yetu. Mateso sasa basiiiiii.
Furaha huleta amani, amani huleta maendeleo. Tunahitaji viongozi tutakao kaa nao na kujadiliana nao mahitaji yetu kabla hawajafanya maamuzi yanayotoka tuhusu sisi pasi kutushirikisha.
 
Mmelazimisha sana ushindi, kupelekea mawaziri waandamizi kupita bila kupingwa kwenye majimbo yao. Madiwani wengi wamepata bila kupingwa. Unapomshinda mpinzani wako kwa 90% ni dalili ya kuwa mashindano yalikuwa na matatizo. Kuna kila dalili ya kuwa mshindani mmoja alitumia nguvu na mabavu kuupata ushindi...
Hakika
 
Back
Top Bottom