Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Kumbe bado upo
Najunbuka ilivyo jiliza kama mwanake sijui nani Anayo ile video
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe bado upo
Naamini maneno anayosema, na ushahidi ni yeye mwenyewe, maneno yake yalimfanya atembee kwa magoti!
Kwani shida wananchi.......This Is AfricaMmelazimisha sana ushindi, kupelekea mawaziri waandamizi kupita bila kupingwa kwenye majimbo yao. Madiwani wengi wamepata bila kupingwa. Unapomshinda mpinzani wako kwa 90% ni dalili ya kuwa mashindano yalikuwa na matatizo. Kuna kila dalili ya kuwa mshindani mmoja alitumia nguvu na mabavu kuupata ushindi.
Kampeni zenu mpaka mtumie gharama kubwa ya wasabi, watoto wa shule, watu kupewa 5,000, Kofia na T-shirts ndiyo waende kwenye mikutano. Hizi nguvu mnazotumia ni nyingi mno.
Kwenye sanduku la kura mnatumia vyombo vya dola kuchakachua ushindi. Utawala wenu ni wa kibabe, mnasema hadharani kuwa tusipochagua wabunge wa CCM hamleti maendeleo. CCM tumewachoka ondokeni madarakani.
Tundu Lissu ametutoka hofu. Ametuambia maandamano ndiyo sauti pekee tuliyonayo kama za Duku la kura litachakachuliwa. Hao wanajeshi na polisi ni Watanzania wenzetu hawsepipe kutuma wote. Wengine ni watoto wa dada na kaka zetu, majirani zetu.nk
Afadhali muondoke madarakani mkiwa na heshima kidogo mliyonayo kuliko kuvuliwa heshima yote iliyobaki.
njaa PLUS unafki...bila hayo (na yeye anayajua hayo vzr kbs) hata kupitishwa kugombea ubunge asingepitishwa!.Huyu anatafuta uwaziri anasahau alillialia kwa kunyooshewa bastola hadharani!Njaa mbaya sana.
Mwamko upi,matusi?Kwa mwamko ninaouona,CCM mwaka huu hawana chao.
Sema watakuwa wanakitawala wewe mwananchi usiye na furaha,siyo wote wanaoishi kwa kumtegemea mwanasiasa kama cdm,utakufa unaloloma,siasa haijwahi kumkomboa mtuHata wakichakachua matokeo wajue kuwa wanatawala wananchi wasio na furaha.
Hiyo ni ndoto ya mwandawazimu cdm kuchukua nchi hii,tafuta cha kufanya!!ccm mpya hawakujua kula na vipofu. kwa miaka mingi hatukujali mambo ya ccm sababu tuliishi kwa amani na furaha. ccm ya magufuli inatawala watu kwa kuwajaza hofu.
uchaguzi wa mwaka huu ccm inakataliwa kwa nguvu kubwa sababu watu wamechoka kuishi kwa hofu. ccm ijiandae kukabidhi nchi kwa amani ama iondolewe kwa nguvu ya umma.
Kumbe hebu tuone clip hii hapa chini.Mmelazimisha sana ushindi, kupelekea mawaziri waandamizi kupita bila kupingwa kwenye majimbo yao. Madiwani wengi wamepata bila kupingwa. Unapomshinda mpinzani wako kwa 90% ni dalili ya kuwa mashindano yalikuwa na matatizo. Kuna kila dalili ya kuwa mshindani mmoja alitumia nguvu na mabavu kuupata ushindi...
Uwezo unao wewe bwege?Kiufupi tunahitaji uhuru na haki kwenye uchaguzi huu. Wakileta figisu, tunaruka nao.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Na sisi hatutaki kutawaliwa tukiwa hatuna furaha, tunataka furaha. Na kamwe hatutaruhusu tupokwe furaha yetu. Mateso sasa basiiiiii.Hata wakichakachua matokeo wajue kuwa wanatawala wananchi wasio na furaha.
Tujiandae kuingia mtaani najua lazima kura zitaibwa.Hata wakichakachua matokeo wajue kuwa wanatawala wananchi wasio na furaha.
Furaha huleta amani, amani huleta maendeleo. Tunahitaji viongozi tutakao kaa nao na kujadiliana nao mahitaji yetu kabla hawajafanya maamuzi yanayotoka tuhusu sisi pasi kutushirikisha.Na sisi hatutaki kutawaliwa tukiwa hatuna furaha, tunataka furaha. Na kamwe hatutaruhusu tupokwe furaha yetu. Mateso sasa basiiiiii.
HakikaMmelazimisha sana ushindi, kupelekea mawaziri waandamizi kupita bila kupingwa kwenye majimbo yao. Madiwani wengi wamepata bila kupingwa. Unapomshinda mpinzani wako kwa 90% ni dalili ya kuwa mashindano yalikuwa na matatizo. Kuna kila dalili ya kuwa mshindani mmoja alitumia nguvu na mabavu kuupata ushindi...