Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kuchagua CCM ni kujitakia matatizo kwenye familia yakoMmelazimisha sana ushindi, kupelekea mawaziri waandamizi kupita bila kupingwa kwenye majimbo yao. Madiwani wengi wamepata bila kupingwa. Unapomshinda mpinzani wako kwa 90% ni dalili ya kuwa mashindano yalikuwa na matatizo. Kuna kila dalili ya kuwa mshindani mmoja alitumia nguvu na mabavu kuupata ushindi...
Sure mkuuSiasa inamgusa kila mwananchi, awe fundi mchundo au fundi cherahani. Wanasiasa ndiyo hugs ya maamuzi ya hela wanazokusanya kwetu kwa njia ya kodi.
Mbona ilikuwa inawezekana sana kuni-quote bila hata kunitukana mkuu? Tatizo nini?Uwezo unao wewe bwege?
CCM wajitafakari, muda wao wa kufanya siasa waliutumka vizuri,waliwapoteza na kuwajeruhi wapinzani.Wapinzani wa ndani na nje ya ccm.Mmelazimisha sana ushindi, kupelekea mawaziri waandamizi kupita bila kupingwa kwenye majimbo yao. Madiwani wengi wamepata bila kupingwa. Unapomshinda mpinzani wako kwa 90% ni dalili ya kuwa mashindano yalikuwa na matatizo. Kuna kila dalili ya kuwa mshindani mmoja alitumia nguvu na mabavu kuupata ushindi...
Nimeamini kumbe ni kweli wakati mwingine hata saa mbovu ina onyesha muda sahihi!!! Kwani kwa WATZ, wanachokionyesha kwenye kampeni za mwaka huu, licha ya ccm, kuwa walijiaminisha kuwa hakuna upinzani, watasema tu, oneni, mindege, madaraja!Mmelazimisha sana ushindi, kupelekea mawaziri waandamizi kupita bila kupingwa kwenye majimbo yao. Madiwani wengi wamepata bila kupingwa. Unapomshinda mpinzani wako kwa 90% ni dalili ya kuwa mashindano yalikuwa na matatizo. Kuna kila dalili ya kuwa mshindani mmoja alitumia nguvu na mabavu kuupata ushindi...