CCM Mwaka huu wakitoboa ntatembea kwa miguu toka Mwanza to Dar kwa miguu

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
7,225
Reaction score
9,830

Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.

Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.

Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!

CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.

It's just a matter of time.
 
Kama unadhani kuna mwaka walishawahi kutoboa basi una matatizo
 
Unabii Unatimia
Hii ni yale maandiko Ukutani: MENE MENE TEKELI NA PERESI.

Danieli 5:25-28

[25]Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.
[26]Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
[27]TEKELI, umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.
[28]PERESI, ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wamedi na Waajemi.

Ameen 😉
 
Anza kutembea mapema mkuu naona zoezi tayari
 
Huu mwaka hawatoboi aisee. Ndio kwanza wamefungulia mbwa wao waliochanganyikiwa ndani ya zizi lao la unyang'anyi watang'atana humo ndani mpaka wauane
 
Nitakusindikiza mkuu
 
Probably 2070-90(in betweens)👹👹👹
-Dua chafu zimekuwa nyingi kweli,lakini zote zinakwenda kukutana na kisiko cha mpingo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…