CCM Mwaka huu wakitoboa ntatembea kwa miguu toka Mwanza to Dar kwa miguu

View attachment 3419504
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.

Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.

Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!

CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.

It's just a matter of time.
Dua yangu hili litimie wallah na ilibidi wale mapapa yote yafe yakiwa kwenye kikao chao cha Siri kuhujumu nchi yangu moto mkuu uwashukie yasiwepo hata mabaki na machawa wao wapate magonjwa mabaya wafe kwa uchungu mkali masalia yao yasijitokeze kwenye chama tawala kipya
 
Chama gani chenye kura za kutosha kuitoa CCM? Vyama vya upinzani vina hulkaya ki-selfish/ubinafsi, wangeungana mapema na kuandaa kupambana dhidi ya CCM labda wangetoboa, lakni sasa wako kama splinter rebel forces

Kukitoa Chama tawala chenye dola inahitaji overwhelming disciplined united opposition, bila hivyo ni ndoto za alinacha
 
Dua yangu hili litimie wallah na ilibidi wale mapapa yote yafe yakiwa kwenye kikao chao cha Siri kuhujumu nchi yangu moto mkuu uwashukie yasiwepo hata mabaki na machawa wao wapate magonjwa mabaya wafe kwa uchungu mkali masalia yao yasijitokeze kwenye chama tawala kipya
Amen, for sure they've got it coming. It's Just a matter of time.
 
U
View attachment 3419504
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.

Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.

Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!

CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.

It's just a matter of time.
Utasubiri sana
 
Vichaa wako wengi hatukushangai
 
bibi yao alijisahau mno, akaanza kuwaona Watanzania wa hali ya chini kuwa si kitu.
Hii ilienda hadi kwa viongozi waandamizi wa chama chake kuanza kuwaita wapiga kura wao Kenge!
 
Hii ni yale maandiko Ukutani: MENE MENE TEKELI NA PERESI.

Danieli 5:25-28

[25]Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.
[26]Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
[27]TEKELI, umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.
[28]PERESI, ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wamedi na Waajemi.

Ameen 😉
Waajemi ndio hawa wa Iran wanaopigana vita wakiwa nyumbani na mabomu yanafika sehemu husika...
 
Back
Top Bottom