HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,690
- 6,380
Ni Wasiwasi Wako Tu......
Dalili zote zinaonesha they are heading for a tragic crash; Bi Chura ni baraka iliyopita kwa mlango wa nyuma, tupo naye hadi akizike chama mfu na yeye tumzike😂View attachment 3419504
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.
Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.
Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!
CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.
It's just a matter of time.

KANU(Kenya), ANC(South Africa), UNIP(Zambia),etc wako wapi leo?Hakuna chama cha siasa kitadumu milele! Ni swala la muda tu mbona!!Mkuu tembea kama mazoezi tu ya kujiweka fit. CCM kusambaratika haiwezekani.
Ikawe Heri!!!View attachment 3419504
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.
Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.
Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!
CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.
It's just a matter of time.
Tembea kwa makalioView attachment 3419504

Ewaaaa ! Ngoja Tusubiri tuone 😳 !Huu mwaka hawatoboi aisee. Ndio kwanza wamefungulia mbwa wao waliochanganyikiwa ndani ya zizi lao la unyang'anyi watang'atana humo ndani mpaka wauane
i Dua ni kali sana Wallah , ngoja Tusubiri tuone 🙏Dua yangu hili litimie wallah na ilibidi wale mapapa yote yafe yakiwa kwenye kikao chao cha Siri kuhujumu nchi yangu moto mkuu uwashukie yasiwepo hata mabaki na machawa wao wapate magonjwa mabaya wafe kwa uchungu mkali masalia yao yasijitokeze kwenye chama tawala kipya
Janja gani? Chama chetu kimeshamteua mgombea na atachukuwa form kupambana na wagombea wa vyama vingine tatizo liko wapi? Mlikuwa mnajidanganya na propaganda za mtandao ni kuwa atabadilishwa mgombea sasa like wapi?Read between the lines. Kutoboa ninako kuzungumzia ni kuingia Ikulu kwa njia za janjajanja na hila. Mwaka huu wamekwama. Wameji kaanga kwa mafuta yao wenyewe!
Mungu wa mbinguni sasa Amewachukia 😳 !Kiuhalisia CCM huwa hawatoboi KIUHALALI ni kwa njia za WIZI WA KURA!
Ni chama gani kinaiondoa CCM madarakani etiRead between the lines. Kutoboa ninako kuzungumzia ni kuingia Ikulu kwa njia za janjajanja na hila. Mwaka huu wamekwama. Wameji kaanga kwa mafuta yao wenyewe!
Wataingia ikulu kama kawa. utaonaRead between the lines. Kutoboa ninako kuzungumzia ni kuingia Ikulu kwa njia za janjajanja na hila. Mwaka huu wamekwama. Wameji kaanga kwa mafuta yao wenyewe!
Chama kinatoboa bila wasiwasi ni wewe tu na ndoto zako zisizo na maana.View attachment 3419504