CCM Mwaka huu wakitoboa ntatembea kwa miguu toka Mwanza to Dar kwa miguu

View attachment 3419504
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.

Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.

Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!

CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.

It's just a matter of time.
Hawajawahi kutoboa, labda enzi za Chama kimoja.
 
Sidhani kama hicho walichofanya leo ilikuwa muhimu kwa sasa. Ni kama kuna kingine ambacho wameficha.
Mkuu mimi CCM nao jua hapo inaenda kuunda kamati ya kampaini hamna mjadala zaidi ya hapo, kuna watu wao wa system walikua wameachwa nje tayari wameshwa andaliwa mpenyezo wa kuingia bungeni tena.
 
Daima ndio mara Zote sio mara kadhaa! Ushauri wa mtu anayetafuna makande ya moto hayakosi ishara ya chozi la maumivu ya kuungua mdomoni mwake wenye utamu wa njaaa kali! Inawezekana kabisa ikawa ni buruji la wimbo wa taifa au buruji la kupandisha bendera ya taifa! Hayo yote ni uzalendo! Lakini si ni kweli mtaka mema hunena jema? Basi tusipuuze hili la kutoa sapoti kuhakikisha tuna Unga juhudi ya chama kwa kutoa mkono wa mitano tena!
 
Hii ni yale maandiko Ukutani: MENE MENE TEKELI NA PERESI.

Danieli 5:25-28

[25]Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.
[26]Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
[27]TEKELI, umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.
[28]PERESI, ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wamedi na Waajemi.

Ameen 😉
Amen
 
Karibu kaka.
Nakumbuka kina marehemu Seth Benjamini walitembea kwa mguu toka Musoma mpaka Arusha kuunga mkono Azimio la Arusha.
Sisi tutatembea kuunga mkono kusambaratika kwa CCM:3Dance:
Wana wa Mungu jf naomba mtilie maanani andiko la mkuu uyu , ameongea jambo la msingi sana. MUNGU awe juu yake.
 
View attachment 3419504
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.

Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.

Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!

CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.

It's just a matter of time.
Una uhakika??
 
GwrsqPkXIAAUrBi.jpg
 
Sema kuwa utapanga mavi kutoka unapokaa hadi barabarani hapo tutajua unaweza sio kwa matege hayo kutembea hadi Mwanza kwa miguu
 
View attachment 3419504
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.

Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.

Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!

CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.

It's just a matter of time.

View attachment 3419504
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.

Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.

Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!

CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.

It's just a matter of time.
Aisee! Wewe ni hatari!
 
Back
Top Bottom