Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,689
- 6,484
Dua yangu hili litimie wallah na ilibidi wale mapapa yote yafe yakiwa kwenye kikao chao cha Siri kuhujumu nchi yangu moto mkuu uwashukie yasiwepo hata mabaki na machawa wao wapate magonjwa mabaya wafe kwa uchungu mkali masalia yao yasijitokeze kwenye chama tawala kipyaView attachment 3419504
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.
Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.
Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!
CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.
It's just a matter of time.
How?hicho cha leo kinaenda kutumika kutea wagombea wa ubunge --- wale mashujaa feki wa kama kina gwajima hawawezi pita
yanaweza yakapelkwa majina matatu ya wagombea ubunge ila wao wanawza wakateu mtu tofauti kabisa -How?
Chama gani chenye kura za kutosha kuitoa CCM? Vyama vya upinzani vina hulkaya ki-selfish/ubinafsi, wangeungana mapema na kuandaa kupambana dhidi ya CCM labda wangetoboa, lakni sasa wako kama splinter rebel forcesView attachment 3419504
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.
Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.
Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!
CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.
It's just a matter of time.
Amen, for sure they've got it coming. It's Just a matter of time.Dua yangu hili litimie wallah na ilibidi wale mapapa yote yafe yakiwa kwenye kikao chao cha Siri kuhujumu nchi yangu moto mkuu uwashukie yasiwepo hata mabaki na machawa wao wapate magonjwa mabaya wafe kwa uchungu mkali masalia yao yasijitokeze kwenye chama tawala kipya
Utasubiri sanaView attachment 3419504
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.
Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.
Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!
CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.
It's just a matter of time.
We unamuamini mwalimu?"Bila CCM imara, Tanzania itayumba"

Inahusiana vipi na Mabadiliko ya leo?yanaweza yakapelkwa majina matatu ya wagombea ubunge ila wao wanawza wakateu mtu tofauti kabisa -
Vichaa wako wengi hatukushangaiView attachment 3419504
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.
Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.
Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!
CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.
It's just a matter of time.
bibi yao alijisahau mno, akaanza kuwaona Watanzania wa hali ya chini kuwa si kitu.View attachment 3419504
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.
Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.
Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!
CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.
It's just a matter of time.
Mungu akusaidie upone harakaRead between the lines. Kutoboa ninako kuzungumzia ni kuingia Ikulu kwa njia za janjajanja na hila. Mwaka huu wamekwama. Wameji kaanga kwa mafuta yao wenyewe!
Ndiyo, ni Babu yanguWe unamuamini mwalimu?
Waajemi ndio hawa wa Iran wanaopigana vita wakiwa nyumbani na mabomu yanafika sehemu husika...Hii ni yale maandiko Ukutani: MENE MENE TEKELI NA PERESI.
Danieli 5:25-28
[25]Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.
[26]Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
[27]TEKELI, umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.
[28]PERESI, ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wamedi na Waajemi.
Ameen 😉