AlanusJosephat53
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 747
- 746
Hawajawahi kutoboa, labda enzi za Chama kimoja.View attachment 3419504
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.
Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.
Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!
CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.
It's just a matter of time.
Karibu kaka.Nitakusindikiza mkuu
Hapa kwetu Wamedi na Waajemi ni vyama vya Upinzani.Waajemi ndio hawa wa Iran wanaopigana vita wakiwa nyumbani na mabomu yanafika sehemu husika...
Karibu kaka.
Nakumbuka kina marehemu Seth Benjamini walitembea kwa mguu toka Musoma mpaka Arusha kuunga mkono Azimio la Arusha.
Sisi tutatembea kuunga mkono kusambaratika kwa CCM
Mkuu mimi CCM nao jua hapo inaenda kuunda kamati ya kampaini hamna mjadala zaidi ya hapo, kuna watu wao wa system walikua wameachwa nje tayari wameshwa andaliwa mpenyezo wa kuingia bungeni tena.Sidhani kama hicho walichofanya leo ilikuwa muhimu kwa sasa. Ni kama kuna kingine ambacho wameficha.
Mkuu uchawa uko wapi acha chuki, unataka nianze kutukana bila sababu ndo ntaonekana sio chawa,CHAWA NAKUONA UWEZI KUKANUSHA
Kiuhalisia CCM huwa hawatoboi KIUHALALI ni kwa njia za WIZI WA KURA!Hawajawahi kutoboa, labda enzi za Chama kimoja.
AmenHii ni yale maandiko Ukutani: MENE MENE TEKELI NA PERESI.
Danieli 5:25-28
[25]Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.
[26]Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
[27]TEKELI, umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.
[28]PERESI, ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wamedi na Waajemi.
Ameen 😉
Unabii Unatimia
Jina la baba 🤔Seth
Wana wa Mungu jf naomba mtilie maanani andiko la mkuu uyu , ameongea jambo la msingi sana. MUNGU awe juu yake.Karibu kaka.
Nakumbuka kina marehemu Seth Benjamini walitembea kwa mguu toka Musoma mpaka Arusha kuunga mkono Azimio la Arusha.
Sisi tutatembea kuunga mkono kusambaratika kwa CCM
Una uhakika??View attachment 3419504
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.
Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.
Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!
CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.
It's just a matter of time.
View attachment 3419504

Aisee! Wewe ni hatari!View attachment 3419504

"Better the ogre that knows you than one that doesn't, because it won't completely devour you"U
Utasubiri sana
Lugha za machawa na "wasiojulikana"........!!Nikukumbushe tu kua CCM chama Dola. Kikishindwa kukutuliza utatulizwa na Dola
Amen n' AmenAmen