CCM Mwaka huu wakitoboa ntatembea kwa miguu toka Mwanza to Dar kwa miguu

Dalili zote zinaonesha they are heading for a tragic crash; Bi Chura ni baraka iliyopita kwa mlango wa nyuma, tupo naye hadi akizike chama mfu na yeye tumzikeπŸ˜‚
 
Dalili zote zinaonesha they are heading for a tragic crash; Bi Chura ni baraka iliyopita kwa mlango wa nyuma, tupo naye hadi akizike chama mfu na yeye tumzikeπŸ˜‚
 
Mkuu tembea kama mazoezi tu ya kujiweka fit. CCM kusambaratika haiwezekani.
KANU(Kenya), ANC(South Africa), UNIP(Zambia),etc wako wapi leo?Hakuna chama cha siasa kitadumu milele! Ni swala la muda tu mbona!!
 
Ikawe Heri!!!
 
Tembea kwa makalio
 
Hi
i Dua ni kali sana Wallah , ngoja Tusubiri tuone πŸ™
 
Read between the lines. Kutoboa ninako kuzungumzia ni kuingia Ikulu kwa njia za janjajanja na hila. Mwaka huu wamekwama. Wameji kaanga kwa mafuta yao wenyewe!
Janja gani? Chama chetu kimeshamteua mgombea na atachukuwa form kupambana na wagombea wa vyama vingine tatizo liko wapi? Mlikuwa mnajidanganya na propaganda za mtandao ni kuwa atabadilishwa mgombea sasa like wapi?
 
Read between the lines. Kutoboa ninako kuzungumzia ni kuingia Ikulu kwa njia za janjajanja na hila. Mwaka huu wamekwama. Wameji kaanga kwa mafuta yao wenyewe!
Ni chama gani kinaiondoa CCM madarakani eti
 
Mr Slowly hakua akizijua zile two Office Rules pendwa !
No. 1 ; The Boss is always Right .
No. 2 ; When’s wrong follow rule number One ☝️ !

Kwa sasa atakuwa amejifunza vizuri sana !
Sio mbaya akifanya kama alivyofanya Nape kwa Jiwe !
Kutembelea mafuti ?
!! πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜„
 
Chama kinatoboa bila wasiwasi ni wewe tu na ndoto zako zisizo na maana.

Kama kilishindwa kufa 2015 kipindi hicho late lowassa na membe wanamisuli yao sembuse sasa?

Nani wakuleta misukosuko hiyo kwa sasa Kama lowassa na membe walishindwa kuvunja chama? Ccm ipo Sana na itaendelea kuwepo na mama anatoboa bila wasiwasi huo ndiyo ukweli utake usitake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…