ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Wana option 2View attachment 3419504
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.
Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.
Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!
CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.
It's just a matter of time.
KANU yenye ukabila huwezi fananisha na CCM. ANC bado ipo ila inachechemea. UNIP nayo ilikufa baada ya Kaunda kutosoma alama za nyakati na kung'atuka fasta. CCM inajifunza kutokana na makosa ya wengine.KANU(Kenya), ANC(South Africa), UNIP(Zambia),etc wako wapi leo?Hakuna chama cha siasa kitadumu milele! Ni swala la muda tu mbona!!
Ngoja Tusubiri tuone hii movie 🎥Wana option 2
1.Waende na SSH walinde chama au
2.Wagawane fito Kila mmja apoteze na awe kwenye risk ya jela .
Uchaguzi ni wao,SSH hana kashfa ya ufisadi wengine wote wananuka rushwa.
Ikulu haipatikani kwa makaratasi mjomba.View attachment 3419504
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.
Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.
Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote za uonevu, ukandamizaji wa Demokrasia, mauaji ya Wapinzani, wizi wa kura etc, Mungu amesema sasa basiii!
CCM wameanza kugawana mbao. Alianza mzee Kiwete kukiuka Katiba yao wenyewe, akaingia Gwajima na sasa Polepole. Nmekaa hapa nakunywa soda yangu bariidi nikisubiria kwa hamu Meli ya CCM ikizama mazima.
It's just a matter of time.
we anza tu kutembea mapema, amna anaeweza kushindana na ccm afrika nzimaRead between the lines. Kutoboa ninako kuzungumzia ni kuingia Ikulu kwa njia za janjajanja na hila. Mwaka huu wamekwama. Wameji kaanga kwa mafuta yao wenyewe!
Walikuwa hawajui kwamba The Boss is always Right !Janja gani? Chama chetu kimeshamteua mgombea na atachukuwa form kupambana na wagombea wa vyama vingine tatizo liko wapi? Mlikuwa mnajidanganya na propaganda za mtandao ni kuwa atabadilishwa mgombea sasa like wapi?