Uchaguzi 2020 CCM na dola msifanye makosa Uchaguzi Mkuu 2020, demokrasia ichukuwe mkondo wake Watanzania wafanye maamuzi

VAPS

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
5,610
Reaction score
13,168
Dunia haijasahau ya Zanzibar 2015; Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019; Kosa la tatu ni kadi nyekundu.

Watanzania wengi wetu tuna maisha magumu sana baada ya pesa makusanyo kwenda miradi ya maendeleo na kupungua misaada na mikopo kwa mahusiano mabaya wadau maendeleo.

SGR, Umeme rufiji, Madaraja Busisi, Coco beach, Bomba la mafuta ni miradi bado ipo hatua za awali tusitaraji kuona matunda 2020, ukamilifu wake Baada ya 2021.

Zahanati, Vituo vya afya, hospitali wilaya na mikoa miradi mingi ipo hatua za awali na majengo yaliyo tayari mengi hayana vifaa na watumishi.

REA napongeza usimamizi awamu hii matumizi ya 3% ya matumizi ya umeme Watanzania wanaotumia huduma umeme, maji.

Kiwanja Mungu ametujalia bure Tanzania yetu, kujenga msingi pekee kwa miradi hiyo isiwe nogwa na kufuru kujisifu tumemaliza.Waliowahi kujenga nyumba wanajua garama ya kumalizia ilivyo mziki.

Hoja yangu hapa ni kweli JPM ana uthubutu na upeo na dhamira njema kwa taifa letu. Kama taifa tuna katiba yetu. Serikali ya ccm isibweteke na dhamana kutaka kutumia Dola vibaya kwa sifa zisizo za msingi.

Awamu zote katika taifa hili viongozi japo chini ya ccm wamejitahidi wawezavyo. Nafatilia TBC ni dhambi kubwa tunavyomtukuza JPM, mwenye utukufu ni Mungu Baba pekee.

Spika wa Bunge katika kikao rasmi Bunge anadiriki kusema wazi wabunge upinzani kutorudi Bunge lijalo

CCM na Dola tuheshimu katiba ya taifa letu, tuwaheshimu Watanzania, tuwaache wafanye maamuzi huru. Kinyume chake JPM na Watanzania tutakuwa na wakati mgumu zaidi 2021 kwa vikwazo na kukosa zaidi ushirikiano wa jumuia za kimataifa.

Mfano mdogo hatuna mwekezaji mkubwa serious amewekeza awamu hii ya 5 kama Dangote. Viwanda 4000 tuendelee kufarijiana tu serikali ya viwanda.

Ukamilifu wa miradi ya mkakati SGR, Umeme Rufiji, miradi maji, Afya nk itakuwa shakani ukamilifu kwa wakati.Ng'ombe tunaemkamua bila malisho stahiki tunaendelea kukamua damu matokeo ni kifo.
 
Ccm itashinda kwa demokrasia Mkuu

Vile vyama vya siasa waliowekeza kwenye matusi watarajie kupotea
Mbali ya kuharibu uchumi,mnaweka rehehani amani,furaha na umoja wa taifa letu.
 
Kwanza upinzani wa kupambana na CCM haupo.Kuhusu miradi ya maendeleo itaisha haijalishi kwa wakati ama nje ya wakati.

Kuhusu maisha kuwa magumu hakuna utawala uliingia madarakani kisha wananchi wakasema wazi maisha ni mepesi.
Yote kwa yote jitahidi upambanie maisha yako kwa kadri utakavyoweza,kwani tulipotoka tunapajua ila twendapo hatupajui.
 
Wananchi, Wafanyakazi wakulima na wafanyabiashara (wapigadili) wanangoja Ilani nzuri za vyama na mipango

Ilani ya chama itakayo chochea ukuwaji wa uchumi kwa wote na kuongezea serikali kodi ndio inafaa.

Vyama vya Siasa inatakiwa vije na Ilani na Mipango ambayo inampa Mtanzania Uhuru wa kuchagua ni wakati gani wa kuajiriwa na ni wakati gani wa kujiajiri. Ilani ipange kuondoa vipingamizi kwa muajiriwa anaetaka kuacha ajiri, ili akafanye Kilimo chake au biashara yake.

Pili: Ilani ije na mpango mahususi wa kuongeze idada walipa kodi ( to increase taxi payers base) na kuacha tabia ya kuwalimbikizia watu wachache kodi nyingi.

Tatu: Ilani ya hicho chama (watakaopenda) waje na mpango mkakati wa kutawala soko la bidhaa za EAC na SADC (kuwezesha viwanda kuuza nje)...Kwa sasa Tanzania kuna mafuriko ya bidhaa za South Africa, Kenya, Uganda, etc)..Nyie wenyewe nendeni madukani na supermarkets..

Nne: Nguvu kazi ya vijana itumike ipasavyo...(Vijana wamesoma na hawana kazi) kuwe na mpango mkakati wa kuwatumia kwenye Kilimo, na kutafuta masoko nje ya nchi. Angalia china ananunua mahindi USA, why not Tanzania?

Mwenye zaidi achangie...kwa manufaa ya Tanzania yetu sote.

changia kwa uzalendo..lete hoja.
 
CCM haujawahi kufanya kosa tangu iundwe
 
Kwanza upinzani wa kupambana na CCM haupo.Kuhusu miradi ya maendeleo itaisha haijalishi kwa wakati ama nje ya wakati.

Kuhusu maisha kuwa magumu hakuna utawala uliingia madarakani kisha wananchi wakasema wazi maisha ni mepesi.
Yote kwa yote jitahidi upambanie maisha yako kwa kadri utakavyoweza,kwani tulipotoka tunapajua ila twendapo hatupajui.
Kweli mkuu ccm inamtandao mkubwa sana kwanini wapambe wanamchombeza mkuu kwa hujuma,rejea nunua nunua wapinzani, hujuma serikali za mitaa? CCM inapaswa kuwa mfano bora Africa kwa kusimamia vema na kumudu changamoto za Mfumo vyama vingi .
 
Ccm itashinda kwa demokrasia Mkuu

Vile vyama vya siasa waliowekeza kwenye matusi watarajie kupotea

Ingekuwa inategemea kushinda kidemokrasia usingeona huu uhuni uanoendeshwa na tume ya uchaguzi.
 
Kweli mkuu ccm inamtandao mkubwa sana kwanini wapambe wanamchombeza mkuu kwa hujuma,rejea nunua nunua wapinzani, hujuma serikali za mitaa? CCM inapaswa kuwa mfano bora Africa kwa kusimamia vema na kumudu changamoto za Mfumo vyama vingi .
Wengi waliorudi CCM walikuja CDM kwa mpango maalum,Baada ya kumaliza kazi wamerudi CCM.
Baadhi yao wachache waliokuwa CDM wamefukuzwa na mbowe kwa kuhoji na kukataa ubabe wa Mbowe.
 
ccm inadharau Watanzania, hasa wa vijijini
Madhara ni yetu sote Watanzania. Fikiri tunajenga Ikulu makao makuu Pesa halali Wajeda wetu wanategemea amri na maelekezo ya mkuu fungu litoke!?
 
Ccm bila Polisi na Tume yao ya uchaguzi, saa mbili tu asubuhi siku ya uchaguzi! Wapinzani wanasherehekea ushindi.
 
Rejea ya uzinduzi jengo mkonge Tanga juzi kina Ummy na ccm wamemuahidi mkuu atulizane zake Dar/Dom hana sababu kupita kuomba kura. Ni mwendelezo wa kauli viongozi ikimaanisha maandalizi ya ushindi wa mezani.Mgombea wa CDM kinyume na Lissu nadhani wengine watafika bei wote mwezi mmoja kabla uchaguzi.
 
Dunia haijasahau ya Zanzibar 2015; Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019; Kosa la tatu ni kadi nyekundu.

Watanzania wengi wetu tuna maisha magumu sana baada ya pesa makusanyo kwenda miradi ya maendeleo na kupungua misaada na mikopo kwa mahusiano mabaya wadau maendeleo.

SGR, Umeme rufiji, Madaraja Busisi, Coco beach, Bomba la mafuta ni miradi bado ipo hatua za awali tusitaraji kuona matunda 2020, ukamilifu wake Baada ya 2021.

Zahanati, Vituo vya afya, hospitali wilaya na mikoa miradi mingi ipo hatua za awali na majengo yaliyo tayari mengi hayana vifaa na watumishi.

REA napongeza usimamizi awamu hii matumizi ya 3% ya matumizi ya umeme Watanzania wanaotumia huduma umeme, maji.

Kiwanja Mungu ametujalia bure Tanzania yetu, kujenga msingi pekee kwa miradi hiyo isiwe nogwa na kufuru kujisifu tumemaliza.Waliowahi kujenga nyumba wanajua garama ya kumalizia ilivyo mziki.

Hoja yangu hapa ni kweli JPM ana uthubutu na upeo na dhamira njema kwa taifa letu. Kama taifa tuna katiba yetu. Serikali ya ccm isibweteke na dhamana kutaka kutumia Dola vibaya kwa sifa zisizo za msingi.

Awamu zote katika taifa hili viongozi japo chini ya ccm wamejitahidi wawezavyo. Nafatilia TBC ni dhambi kubwa tunavyomtukuza JPM, mwenye utukufu ni Mungu Baba pekee.

Spika wa Bunge katika kikao rasmi Bunge anadiriki kusema wazi wabunge upinzani kutorudi Bunge lijalo

CCM na Dola tuheshimu katiba ya taifa letu, tuwaheshimu Watanzania, tuwaache wafanye maamuzi huru. Kinyume chake JPM na Watanzania tutakuwa na wakati mgumu zaidi 2021 kwa vikwazo na kukosa zaidi ushirikiano wa jumuia za kimataifa.

Mfano mdogo hatuna mwekezaji mkubwa serious amewekeza awamu hii ya 5 kama Dangote. Viwanda 4000 tuendelee kufarijiana tu serikali ya viwanda.

Ukamilifu wa miradi ya mkakati SGR, Umeme Rufiji, miradi maji, Afya nk itakuwa shakani ukamilifu kwa wakati.Ng'ombe tunaemkamua bila malisho stahiki tunaendelea kukamua damu matokeo ni kifo.
Dola lazima itumiwe vizuri tu. Polisi lazima walinde usalama wa raia na mali zao,Pccb lazima wadhibiti rushwa, Jwtz lazima walinde mipaka ya nchi yetu. Na uchaguzi utafanyika kwa amani. Dola haitumiwi kumlazimisha mtu aichague Ccm
Bali watu wamelidhika na uchapa kazi wa JPM.
 
Mkuu hujitambui.Waulize wakuu Wa vyombo vya dola wanajua
 
Dola lazima itumiwe vizuri tu. Polisi lazima walinde usalama wa raia na mali zao,Pccb lazima wadhibiti rushwa, Jwtz lazima walinde mipaka ya nchi yetu. Na uchaguzi utafanyika kwa amani. Dola haitumiwi kumlazimisha mtu aichague Ccm
Bali watu wamelidhika na uchapa kazi wa JPM.
Mkuu inapaswa kuwa hivyo fair play.
 
Kwa tume hii ccm itashinda hats bila kampeni.
Wanapewa shinikizo kubwa sana, sina hakika wanafurahia hata maisha nafsi zao zinawasuta sana, mfano yule mkurugenzi Kibamia.
 
Back
Top Bottom