amshapopo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 1,834
- 4,161
Wana CCM hawana uoga na kitu chochote wanacho amua kufanya, wanaamini kushika kwako dola ndo kila kitu kwao. Wapo wanaoamini wao na familia zao watatawala milele. Lakini naamini hakuna marefu yasio na ncha. Moshi mweupe umeanza kufuka, watanzania wa sasa sio wajinga kama miaka iliyopita.
Mwisho wa CCM nauona soon!
Cc paschal Mayala
Mwisho wa CCM nauona soon!
Cc paschal Mayala