CCM na kauli 'watatufanya nini sisi ni wenye dola' siku si nyingi itawageuka!

amshapopo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
1,834
Reaction score
4,161
Wana CCM hawana uoga na kitu chochote wanacho amua kufanya, wanaamini kushika kwako dola ndo kila kitu kwao. Wapo wanaoamini wao na familia zao watatawala milele. Lakini naamini hakuna marefu yasio na ncha. Moshi mweupe umeanza kufuka, watanzania wa sasa sio wajinga kama miaka iliyopita.
Mwisho wa CCM nauona soon!

Cc paschal Mayala
 
CCM CCM ni vipofu, viziwi, wakumbaff na mufilisi wakubwa. Wende Kenya wajifunze kilichoionyesha KANU kwanini ndege hawakojoi. Wangekuwa wajanja wangetumia alama ya jembe huku wakijificha mijini. Shame on them all.
 
The seventh wave is loading
 
Kwa yanayoendelea...Yajayo yanafuraisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…