CCM si ndo inaongoza serikali? Lazima wajipendelee!
Duuh..anyway..But MM atasema hoja ya Chadema ni ufisadi tu...?? co do u want them to keep Quite for the foolishness like this.....I dont understand you...which side you are..!!!?Kuna taarifa za ndani kuwa kuna zaidi ya magari 200 yameingia jijini Dar es Salaam kupitia bandari hiyohiyo, wasiwasi wangu ni kama yamelipiwa ushuru...
Tetesi nilizo nazo tayari yamezua mzozo mkubwa ndani ya wakuu TRA na issue mpaka imemfikia Dr. Slaa ambaye anasisitiza patachimbika... Kama hayajalipiwa ushuru, kuna msamaha wanastahili kama chama? Chini ya sheria gani? Ni applicable kwa vyama vyote?
kuna taarifa za ndani kuwa kuna zaidi ya magari 200 yameingia jijini dar es salaam kupitia bandari hiyohiyo, wasiwasi wangu ni kama yamelipiwa ushuru...
Tetesi nilizo nazo tayari yamezua mzozo mkubwa ndani ya wakuu tra na issue mpaka imemfikia dr. Slaa ambaye anasisitiza patachimbika... Kama hayajalipiwa ushuru, kuna msamaha wanastahili kama chama? Chini ya sheria gani? Ni applicable kwa vyama vyote?
Kuna taarifa za ndani kuwa kuna zaidi ya magari 200 yameingia jijini Dar es Salaam kupitia bandari hiyohiyo, wasiwasi wangu ni kama yamelipiwa ushuru...
Tetesi nilizo nazo tayari yamezua mzozo mkubwa ndani ya wakuu TRA na issue mpaka imemfikia Dr. Slaa ambaye anasisitiza patachimbika... Kama hayajalipiwa ushuru, kuna msamaha wanastahili kama chama? Chini ya sheria gani? Ni applicable kwa vyama vyote?
Nilishahisi tutafika huku mapema tu... Haya si 'USED' hivyo thamani yake lazima ipo juu sana.KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbrod Slaa, jana alifichua ufisadi mkubwa uliofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kuingiza magari 200 aina ya Land Cruiser ‘mkonga' bila ya kulipia sh milioni 600 za ushuru wa forodha kwa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA).
Kuna taarifa za ndani kuwa kuna zaidi ya magari 200 yameingia jijini Dar es Salaam kupitia bandari hiyohiyo, wasiwasi wangu ni kama yamelipiwa ushuru...
Tetesi nilizo nazo tayari yamezua mzozo mkubwa ndani ya wakuu TRA na issue mpaka imemfikia Dr. Slaa ambaye anasisitiza patachimbika... Kama hayajalipiwa ushuru, kuna msamaha wanastahili kama chama? Chini ya sheria gani? Ni applicable kwa vyama vyote?
Na hapo ndipo penye tatizo kubwa, kama tumerogwa vileKazi ina baki kwetu katika maamuzi kwenye sanduku la kura...
"Uzuri wa vyama pinzani ndio kama huu wakutuonyesha nyani mla mahindi mabichi shambani. Kazi ina baki kwetu katika maamuzi kwenye sanduku la kura"
Nilishahisi tutafika huku mapema tu... Haya si 'USED' hivyo thamani yake lazima ipo juu sana.
Hivi kwa bei yake kwa sasa ni kiasi gani kwenye soko? Ukichukua thamani kwa kila moja ukazidisha kwa 200 utapata kiasi gani? Kwa miaka 5 kiasi hicho cha fedha kingewasaidia watanzania wangapi? What are our priorities?
"Taarifa hii nimeipata leo, na ina ukweli ndani yake. Hivi ninavyoongea yanaweza kutolewa muda wowote bandarini. Kama suala hili ni uongo, Pinda akanushe. Na wakilipa leo waandike tarehe risiti ya leo kwa kuwa hadi ninavyoongea hayajalipiwa," alisema Dk. Slaa.