CCM na Mifumo ndiyo tatizo kubwa Nchi hii. Wanatupeleka siko

CCM na Mifumo ndiyo tatizo kubwa Nchi hii. Wanatupeleka siko

Prof Koboko

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
350
Reaction score
2,550
Haiwezekani uengue wagombea wa chama kimoja chenye nguvu 16 kati ya 18 katika kisiwa kizima, huu ni uhujumu wa wazi wazi unaominya haki za watu kuchagua. Haiwezi kuondoa wagombea udiwani zaidi ya 600 nchi nzima kama kweli unalitakia taifa hili amani.

CCM kwakua Mwenyekiti wao wa taifa ndiye anayechagua mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi na kamishna wake, hawa watumishi wanaogopa kukosa nafasi zao au kukemewa. Kwanini tunataka kuliharibu taifa letu? Tunataka Vyama vipi vya Uchaguzi vyenye ushindani?

Tangu uchaguzi ndani mfumo wa vyama vingi uanze 1995 hakuwahi kutokea matendo ya hovyo hovyo kiasi hiki.Inamaana miaka yote hiyo wagombea walijaza vipi fomu zao? . Hizi hujuma zinalenga kutuchafulia taifa letu maana ndiyo lengo lako. Hawa watu wamekosa mvuto ndani ya jamii sasa wanalazimisha kutawala.
 
Wamechoka na amani wanataka kumwaga damu kinguvu, wanachokitafuta nadhani watakipata, huwezi huwezi kuonea watu kiasi hiki hata ujinga una mwisho.
 
CCM wanajua bila hila hawawezi kushinda. Ni juu ya upinzani na umma kwa ujumla kutafuta namna ya kuwapiga chini hawa wakoloni
 
Back
Top Bottom