johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Vyama washirika ni Chadema na ACT wazalendo!Kulikoni vyama washirika??!
Hao hawajakubaliana na matakwa ya wenyeviti wao wa vyama taifaMbona wanasema nccr mageuzi ni ccm b?!.
Mbona wanasema nccr mageuzi ni ccm b?!.
Mbona wanasema nccr mageuzi ni ccm b?!.
Watoto wa familia moja hawezi kupigana?Mbona wanasema nccr mageuzi ni ccm b?!.
Dhambi ya usalitiKulikoni vyama washirika??!
Mametwangana CCM A na CCM BMbona wanasema nccr mageuzi ni ccm b?!.
Safi sana Paruaneni mi nipo Hapa Denmark nakula maisha kwanza nikirudi nikute hali shwari Jitahidini mparuane vzr
Wachapane tu ebu tusikie tume wanasemaje