johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wafuasi wa CCM na NCCR Mageuzi wamerushiana makonde wilayani Bariadi na kusababisha kijana mmoja kuumizwa kichwani na kupoteza fahamu.
Wafuasi wa NCCR Mageuzi ambao walipokea kichapo cha haja wamesema CCM ndio waliowapiga lakini Katibu wa CCM Bariadi amesema wafuasi hao wa Nccr mageuzi ndio walivamia eneo la mkutano wa CCM na kilichofuatia kikawa Mwana kulitafuta mwana kulipata.
Source Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!