Uchaguzi 2020 CCM na NCCR Mageuzi watwangana makonde Bariadi kila chama kikituhumu kingine kuwa chanzo cha vurugu

Uchaguzi 2020 CCM na NCCR Mageuzi watwangana makonde Bariadi kila chama kikituhumu kingine kuwa chanzo cha vurugu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wafuasi wa CCM na NCCR Mageuzi wamerushiana makonde wilayani Bariadi na kusababisha kijana mmoja kuumizwa kichwani na kupoteza fahamu.

Wafuasi wa NCCR Mageuzi ambao walipokea kichapo cha haja wamesema CCM ndio waliowapiga lakini Katibu wa CCM Bariadi amesema wafuasi hao wa Nccr mageuzi ndio walivamia eneo la mkutano wa CCM na kilichofuatia kikawa Mwana kulitafuta mwana kulipata.

Source Eatv habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Safi sana Paruaneni mi nipo Hapa Denmark nakula maisha kwanza nikirudi nikute hali shwari Jitahidini mparuane vzr
 
Wakati wakiendelea na ‘jambo lao’ Sisi Tupo shambani Mlandizi, wakimaliza tutakua sokoni, Tandale!
 
Back
Top Bottom