The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
ExactlyNchi yoyote ile iliyokosa kiongozi makini, mara nyingi hutawaliwa na mambo mengi ya kipuuzi kama haya.
Haukuwa na sababu ya kwenda huko. Uathirika wake unaingiaje humu?Huyo Binti inatajwa ni mwathirika, hivyo hajali chochote, Kwa vile siku yoyote ARV zitadunda
Mwigulu ni hopeless kuliko u hopeless wenyewe. Akiwa Igunga kwenye uchaguzi wa marudio aliwahi kuutangazia umma kuwa CHADEMA walichoma nyumba ya mwana CCM. Mwigulu na polisi walibaini mchomaji kupitia kikaratasi kilichofungwa kwenye kijiti ambacho kilichomekwa kwenye ukuta wa nyumba iliyounguzwa. Ujumbe kwenye karatasi ulisomeka hivi "sisi ni CHADEMA ndo tumechoma nyumba yako"Dr. Mwigulu Nchemba unakwama wapi? Hii mbona ya kibwege sana
Mambo ya kutumia vyeki feki. Laana zake hizo.Mwigulu ni hopeless kuliko u hopeless wenyewe. Akiwa Igunga kwenye uchaguzi wa marudio aliwahi kuutangazia umma kuwa CHADEMA walichoma nyumba ya mwana CCM. Mwigulu na polisi walibaini mchomaji kupitia kikaratasi kilichofungwa kwenye kijiti ambacho kilichomekwa kwenye ukuta wa nyumba iliyounguzwa. Ujumbe kwenye karatasi ulisomeka hivi "sisi ni CHADEMA ndo tumechoma nyumba yako"
Yahani moto uteketeze nyumba yote alafu uache karatasi na kijiti!
Alafu wanajiita wakatoliki hawajui kutofautisha Askofu na padriGT.
Ila Mungu anajua kuwaumbua wajinga leo wansema FR kitima ni Askofu.
Hii ni project endelevu ya.kujaribu. kulichafua kanisa ikiongozwa na Mwigulu Nchemba.
View attachment 3530835