Mimi ni Mwislamu ila hawa wadada ni matakoNinahamu kweli ya kumwona huyu Mkatoliki live
Mimi ni Mwislamu ila hawa wadada ni matakoNinahamu kweli ya kumwona huyu Mkatoliki live
Kwa hiyo unapingana kiaina na wqziri mkuu wako siyo aliyemteua Ludovick na huyo Lucy kuendesha mashambulizi!CCM haiwezi kuhusika na huyu mwanamke. Huyu Lucy na wenzake ni wakatoliki wanaokerwa na mwenendo wa Kitima. Hawaiwakilishi CCM kwenye hilo. CCM ina wanachama ambao ni wakatoliki damu hivyo kubariki kinachofanywa na huyu Lucy Michael itakiharibia chama. Kama kuna ulazima wa Kitima kujibiwa hoja zake kuna viongozi wa CCM wanaweza kumjibu vyema na sio huyu Lucy ambaye hata hajui kuwa Kitima sio Askofu bali Padri.
NiGT.
Ila Mungu anajua kuwaumbua wajinga leo wansema FR Kitima ni Askofu.
Hii ni project endelevu ya kujaribu. kulichafua kanisa ikiongozwa na Mwigulu Nchemba.
View attachment 3530835
hakunaga mkatoliki anaepingana na viongozi wake wewe, ushaambiwa hawa si wakatolikiCCM haiwezi kuhusika na huyu mwanamke. Huyu Lucy na wenzake ni wakatoliki wanaokerwa na mwenendo wa Kitima. Hawaiwakilishi CCM kwenye hilo. CCM ina wanachama ambao ni wakatoliki damu hivyo kubariki kinachofanywa na huyu Lucy Michael itakiharibia chama. Kama kuna ulazima wa Kitima kujibiwa hoja zake kuna viongozi wa CCM wanaweza kumjibu vyema na sio huyu Lucy ambaye hata hajui kuwa Kitima sio Askofu bali Padri.
Umewapakazia waathirika wote bila sababu. Ungeweza tu kusema kuwa akili yake imeharibika bila kuingiza suala la kuathirika kwake. Kwa kufanya hivyo haujawatendea waathirika wote pamoja na wale wasiotumia ARV.Umeharibu akili yake Maana hatumii ARV inavyopaswa
Labda uko sahihi. Lakini kuwehuka kwake kuna husiana vipi na kuathirika kwake? Mngesema tu kuwa ni mwehu ( hata bila ushahidi) ingetosha. Mimi naona ni mkatoliki jina anaetaka kujipendekeza. Ama sivyo tungemsikia wakati Padri Kitima amejeruhiwa na wakati viongozi wa kisiasa wakisifiwa na kuletewa viti vyao kanisani.Labda amewehuka?
Wewe ukimuangalia unamuona mzima huyo?amwite Fr Kitima Askofu uendelee kuamini huyo ni mzima?