CCM na Project yao na ‘LUCY Mkatoliki’ bado hawajakoma. Wasikilize tena

CCM na Project yao na ‘LUCY Mkatoliki’ bado hawajakoma. Wasikilize tena

CCM haiwezi kuhusika na huyu mwanamke. Huyu Lucy na wenzake ni wakatoliki wanaokerwa na mwenendo wa Kitima. Hawaiwakilishi CCM kwenye hilo. CCM ina wanachama ambao ni wakatoliki damu hivyo kubariki kinachofanywa na huyu Lucy Michael itakiharibia chama. Kama kuna ulazima wa Kitima kujibiwa hoja zake kuna viongozi wa CCM wanaweza kumjibu vyema na sio huyu Lucy ambaye hata hajui kuwa Kitima sio Askofu bali Padri.
Mkuu kwako unavyoona huyu mama hata kama tuseme ni mkatoriki anahoja za kuongea na Kitima? Watu wa nusu kanzu, barakashee na kobazi walishachemka mda ndo maana labda wanajaribu kutumia adui wa ndani. Sema Si ajabu sifa ya Ubunge ni kusoma na kuandika tu kwenye dunia imeendelea hii!
 
Labda amewehuka?

Wewe ukimuangalia unamuona mzima huyo?amwite Fr Kitima Askofu uendelee kuamini huyo ni mzima?
Shida Kobazi yawezekana hawajui Wakatoriki wakoje na mfumo wa uongozi wao. Wakiona mtu katoka kusema wanajua askofu mara Kadinari. Pengo kashepewa vyeo si vyake kisa tu aliongelea Wakatoriki.
Elimu kwa hawa nusu kanzu/Dera ni shida sana ndo maana mikakati wakuangusha kanisa au kuwagawawatu kidini unawashinda!
 
GT.
Ila Mungu anajua kuwaumbua wajinga leo wansema FR kitima ni Askofu.

Hii ni project endelevu ya.kujaribu. kulichafua kanisa ikiongozwa na Mwigulu Nchemba.


View attachment 3530835
Ati Kitima ni Askofu, tangu lini? Kitima ni Padre. Aliyewandisha mkaseme Askofu kawadanganya.

Nyie ni wakatoliki wala hamjui Padre na Askofu ni nani.
 
CCM haiwezi kuhusika na huyu mwanamke. Huyu Lucy na wenzake ni wakatoliki wanaokerwa na mwenendo wa Kitima. Hawaiwakilishi CCM kwenye hilo. CCM ina wanachama ambao ni wakatoliki damu hivyo kubariki kinachofanywa na huyu Lucy Michael itakiharibia chama. Kama kuna ulazima wa Kitima kujibiwa hoja zake kuna viongozi wa CCM wanaweza kumjibu vyema na sio huyu Lucy ambaye hata hajui kuwa Kitima sio Askofu bali Padri.
Hii ni project ya CCM na hata huyo Lucy siyo muumini wa Kanisa Katoliki yeye ni mfuasi wa Mwamposa, kama angekuwa Mkatoliki asingesema Dr. Kitima ni Askofu, na anayesimamia project hiyo ni Habib Mchange.
 
Dr. Mwigulu Nchemba unakwama wapi? Hii mbona ya kibwege sana
Pamoja na kua na PhD feki Madelu alipashwa awe na washauri wasio feki.
Hivi Madelu au Nchimbi hawajui tofauti ya uaskofu wa kina Mwamposa, mzee wa upako na uaskofu wa kikatoliki?
Kuna dini ya kikatoliki nchi hii.
These are very basic things that one does not need to be a PhD to know.
 
Mwigulu ni hopeless kuliko u hopeless wenyewe. Akiwa Igunga kwenye uchaguzi wa marudio aliwahi kuutangazia umma kuwa CHADEMA walichoma nyumba ya mwana CCM. Mwigulu na polisi walibaini mchomaji kupitia kikaratasi kilichofungwa kwenye kijiti ambacho kilichomekwa kwenye ukuta wa nyumba iliyounguzwa. Ujumbe kwenye karatasi ulisomeka hivi "sisi ni CHADEMA ndo tumechoma nyumba yako"
Yahani moto uteketeze nyumba yote alafu uache karatasi na kijiti!
Huwa nikiona mtu anamtaja Mwigulu kama kiongozi makini na mzalendo naishia kumtukana kimya kimya tu " hili puuzi hakina taarifa za kutosha"
 
Huyu bado anatumika na mshipq wa aibu umemkatika
Toka Lini malaya wakawa na aibu? Huyu Lucy ni muuza K na pia ni muathirika wa Ukimwi anachukulia dawa zake Hospitali ya Temeke.
FB_IMG_1768148636770.jpg
FB_IMG_1768142183987.jpg
 
GT.
Ila Mungu anajua kuwaumbua wajinga leo wansema FR kitima ni Askofu.

Hii ni project endelevu ya.kujaribu. kulichafua kanisa ikiongozwa na Mwigulu Nchemba.


View attachment 3530835
Hivi kweli hii nayo imekuwa ni 'project' ya mategemeo kwa wanaoiendesha?

Padre Kitima akinyamaza, watakuwa wameshinda na kuondoa matatizo mengi yanayowakabili?

Sasa mnatengeneza watu vituko kama hawa hapa; mnategemea kweli kuondoa matatizo mengi mliyoyasababisha wenyewe?
 
sio huyu Lucy ambaye hata hajui kuwa Kitima sio Askofu bali Padri.
Kama hiki ndicho umekisikia na wewe unasemaje huyo ni Mkatoliki aliyekerwa na mambo ya Kanisa? Sisi Wakatoliki hatuna ujinga huo, tumelelewa katika kuheshimu hiarakia (hierarchy), tunasema hawa wamechongwa na ccm tena wamechongwa na Mwigulu. Sasa kwa vile na lile Guberi kichwani hazimo linaona hiyo kampeni inaweza kufanikiwa! Pumbavu kabisa!
 
Mnahangaika bado na huyu muuza K chafu?.....
Huyu na anaowatuma wote wase.nge kwa ujumla wao....
Wanawake wa maana wanapambana na biashara na vikoba huyu kicheche mchafu anajianika kwenye media....
Nani anamsikiliza malaya?...labda kama huna malezi....
Uchafu kama huu unaweza kutikisa kanisa moja takatifu la mitume?....
 
Sada kama wameshapeleka barua kwa "petrostation" kwanini wasisubiri wajibiwe, upumbavu mtupu
 
Back
Top Bottom