Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
CCM imeigeuza Tanzania kuwa laboratory ya umaskini wa kimfumo. Badala ya kutengeneza mazingira ya usawa wa kiuchumi, mmejenga structures zinazowanufaisha wachache huku mamilioni wakizama kwenye umasikini wa kurithishana. Kilimo kimebaki kuwa cha jembe la mkono, elimu ni kwa wenye uwezo, afya ni kwa waliobahatika, na ajira imekuwa bahati nasibu. Huu si uzembe—hii ni calculated neglect.
Lakini swali la msingi kabisa ni hili: Kama kweli Tanzania inasonga mbele, kwa nini majority ya wananchi bado wanashindwa kumudu basic needs kama chakula, elimu na afya? Kwanini mafanikio ni visible kwa wachache tu walioko karibu na system? Je, huu mfumo unamhusu Mtanzania wa kawaida au ni kwa ajili ya elite minority peke yao? Tafakarini kwa kina.