Mwembebasha
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 1,424
- 406
Mkuu, napendaga sana hiyo malizia yako " Back Tanganyika". Ni hilo tu kwa leo.Najuta kwanini nilikuwa nauupuuza uzi huu nikijua utakuwa unahusiana na propaganda za chama chakavu, kumbe kuna madini ya hatari namna hii.....hatari sana aiseee.......
Nilikuwa na hasira na ccm asilimia tisini, sasa zimeongezeka asilimia tisa, mean 99% Maccm kaa mbali na mimi nisije nikavuna kesi isiyo na maana yoyote kwangu....I warn you!!!!!!
Mkuu tpaul barikiwa sana Kamanda Uzi wako ukisambaa vijiji viwili tu hapa Tz nakuhakikishia maccm hayatapata hata viti viwili vya uenyekiti wa mtaa achia mbali Kitongoji.
BACK TANGANYIKA
Last edited by a moderator:
