CCM nambari wani

Mkuu, napendaga sana hiyo malizia yako " Back Tanganyika". Ni hilo tu kwa leo.
 
Last edited by a moderator:
huu uzi naomba mods atoe hewani unapotosha umma na kukichafua chama changu changu ccm.picha wanazorusha sio za watanzania ninaowafahamu
 
huu uzi naomba mods atoe hewani unapotosha umma na kukichafua chama changu changu ccm.picha wanazorusha sio za watanzania ninaowafahamu

Kwi! Kwi! Kwiiii!!! 2015 parapanda italia , muulize LAWLENCE MASHA maana ya parapanda italia .
 
Hahaha hahaha hahaha huu UZI ni mwiba mchungu sana kwa magamba Hahaha hahaha hahaha

Sijawahi kuona mmarangu mwoga kama huyo jamaa ! Eti picha hizi si za nchi hii kweli , ina maana hata hao magamba wanaotwangana kkwa ajili ya posho ni wasomali wale ?
 
Hongera mada nzuri na INA mashiko ya kutosha na vielelezo vinavyojitosheleza.
Mjinga abishe tu.

Uzi wenye hoja kuntu kama huu ni mwiba kwa maCCM, hasa hawa buku 7. Tazama jinsi wanavyopinda migongo sakafuni. Wakiendelea kama hivi mpaka mwaka ujao migongo itaota vibiongo. Bosi wao Nape Nnauye anakula maisha kwa kutumia fedha za ruzuku yeye mwenyewe, ameshindwa hata kuwanunulia madawati waweke lap tops zao badala yake wanaziweka sakafuni. Buku 7 hebu mwambieni bosi wenu awanunulie na madawati basi....au alipowanunulia lap tops alidhani amemaliza kazi? Ikiwa nyinyi mnashindwa kujiboreshea mazingira ya kazi mtawezaje kuboresha maisha ya watanzania milioni 45? Njaa zitawaua!!!!
View attachment 179847
 
Last edited by a moderator:
huu uzi naomba mods atoe hewani unapotosha umma na kukichafua chama changu changu ccm.picha wanazorusha sio za watanzania ninaowafahamu

Tulia sindano iingie sawasawa! Nani kakuambia kwamba hizi picha ni za watanzania? Kwa taarifa yako hizi picha ni za WATANGANYIKA. Kama bado unalo lingine, uliza tena.
 
tpaul hao akina makonda hapo juu wanapigania nini ?

Posho. Posho ndio habari ya mjini, mkuu. Hata wakubwa wao kule Dodoma wanafahamu hilo. Kinachowaweka pale ni posho tu, hakuna kingine zaidi ya hicho.
 

Ha! Ha! Haaaa ! Eee bhana hii ndio ile wodi mpya ya majeruhi wa bodaboda ?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…