CCM nambari wani

Aisee Mkuu umewachambua kweli.....hiyo ndiyo inayoitwa hoja kwa kielelezo, Big up
 
Mkuu umefanya jambo la msingi sana. Hii nchi bila ya chadema ingekuwa pabaya sn. Angalia bunge la katiba sasahivi watu watu wachache bungen halina tena mvuto wa kuliangalia, wanaliendesha kibabe. Bila chadema/ ukawa hakuna katiba yenye maslai ya wananchi
 
Endelea kulia humu mitandaoni utaletewa maisha bora. Ngoja hapo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…