CCM nambari wani

CCM nambari wani

Nambari wani kwa lipi???

Nambari wani kwa wizi, ufisadi, udokozi, unafiki, uzabizabina, ujangali, ugaidi and what have you!
magamba  panya road.jpg
 
Mkuu umefanya jambo la msingi sana. Hii nchi bila ya chadema ingekuwa pabaya sn. Angalia bunge la katiba sasahivi watu watu wachache bungen halina tena mvuto wa kuliangalia, wanaliendesha kibabe. Bila chadema/ ukawa hakuna katiba yenye maslai ya wananchi
 
Endelea kulia humu mitandaoni utaletewa maisha bora. Ngoja hapo hapo.
 
Back
Top Bottom