Nambari wani kwa lipi???
Endelea kulia humu mitandaoni utaletewa maisha bora. Ngoja hapo hapo.
Endelea kulia humu mitandaoni utaletewa maisha bora. Ngoja hapo hapo.
una roho ngumu sana ! Yale malalamiko yako kuhusu maji kijijini kwenu yametatuliwa ?
Dada
Si alisems yeye lakini kwa maneno yake mwenyewe!? Leo mbona mnamkania??
mmarangu wa kwanza muoga kuliko wote !
Mi naungana naye kuwa "maisha bora kwa kila mtanzania", ila uyatafute mwenyewe.
KWA PICHA ULIZOZIONA HUMU kitadumu kweli ?
mkuu Mimi ni jasiri sana ndio maana nipo ccm chama makini, ccm msingi
Kuanguka kwa CCM kumefika.[/QUOTE]
Mi naungana naye kuwa "maisha bora kwa kila mtanzania", ila uyatafute mwenyewe.
Hii picha nimemtumia boss ameumia Sana.