Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Afya za wakazi wa mitaa mbali mbali jijini Dar es Salaam zipo hatarini kutokana na mifereji na mitaro ya kusafirishia maji machafu kuziba na kusababisha maji hayo kutuama na kutoa harufu mbaya ikiwa ni pamoja na kuchafua mazingira.

We mleta picha uone aibu utakuwa mmoja wa wale wanaotupa uchafu barabarani usiku ukikamatwa unadai unaonewa na ukiachwa unaweka picha jf serikali Haifai!!
We mleta picha uone aibu utakuwa mmoja wa wale wanaotupa uchafu barabarani usiku ukikamatwa unadai unaonewa na ukiachwa unaweka picha jf serikali Haifai!!
Nchi hii haiwezi kuongozwa na wahuni na makundi ya walalamikaji...CCM itaendelea kuongoza nchi hii hadi hapo mbadala wake utakapo jitokeza..! BAAASSI
vipi kuhusu hali za wananchi kama picha zinavyojieleza , au ndio MWANA UKOME ?
Kama unadhani kuna nchi haina masikini dunia hii basi hama uende ukaishi huko..!
tuchanje mbuga kwenda wapi? Oh oh oh nilikuwa najua mimi ndio mjinga wa mwisho kumbe yupo zaidi yangu.Mkuu, vijembe hivyo! Lakini sio mbaya, tuchanje mbuga!
kuna ndugu zangu niliwasikia wanaimba oparesheni sangara nikasikia tena movement for chaga au chacha anaejua anisaidie hapo, eti sasa wana single gani iko hewani?
unaweza kudhani unajua kumbe hujui lolote , na inawezekana waliokutuma wamelenga kukuponza !
kuna umasikini na dhiki , HII YA KWETU NI DHIKI , TENA INAYOWAKABILI MAMILIONI YA WANANCHI , KITU AMBACHO NI HATARI MNO !
Dhiki utakuwa nayo wewe usiyetaka kujishughulisha na kujikwamua unasubiri miujiza..
HIVI HUYO BIBI ALIYEBEBA HIVYO VIJINDOO VYA MAJI KUtOKA MADONGO POROMOKA NAMNA HIYO , ATAJIKWAMUA VIPI BILA MSAADA WA SERIKALI , KWANINI USIKUBALI TU KWAMBA UMEISHIWA HOJA KATIKA HILI MKUU , BADALA YA KUJISHEBEDUA ?
Hujitambui weye!!! Unadhani kila mtu ni mchafu kama wewe. Ndiyo zenu hizo Maintaharamwe mkiwa hamna hoja basi ni kumshambulia yule aliyepost chochote hapa. Badilika na kuweka mbele maslahi ya nchi yako badala ya Maintaharamwe. Ungepata nafasi ya kunifahamu usingeandika upumbavu wako.