Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
![]()
![]()
![]()
Afya za wakazi wa mitaa mbali mbali jijini Dar es Salaam zipo hatarini kutokana na mifereji na mitaro ya kusafirishia maji machafu kuziba na kusababisha maji hayo kutuama na kutoa harufu mbaya ikiwa ni pamoja na kuchafua mazingira.
MUNGU WANGU !!! DAH ! Hii noma sasa .