wewe ndio hujitambui hujui hata ulikotoka unafuata siasa za mkumbo na tamaa tumia akili kufikiri. Nikufahamu iweje kwanza huna busara ndugu yangu, jazba na lugha za kihuni hazina nafasi ktk ulimwengu wangu hii forum ni sehem ya kuelimishana na kubadilishana mawazo yenye hekima na busara.
Ningekuwa na tamaa basi ningeungana na mafisadi wauza unga, wahuni, magaidi au majangili ambao wanakwapua trilioni za walipa kodi kila mwaka na kuzificha nchi za nje. Ukileta lugha ya kihuni basi dawa yake ni lugha ya kihuni, ndiyo moto kwa moto. Kama hutaki kujibiwa kwa lugha ya kihuni basi chunga kile uandikacho hapa. Wengi tunatofautiana katika jukwaa hili lakini wale ambao hutumia lugha za kistaarabu hata siku moja hutaona wakijibiwa kwa lugha za kihuni. Mie niliweka picha kama hunijui kwanini uandike ambacho huwezi kuthibitisha dhidi yangu kuhusu kutupa uchafu barabarani? Chunga kauli zako za kipumbavu, kama huna la maana la kuandika basi kaa kimya.

Una roho ngumu sana !Kwa akili yako unadhan serikali inaweza kuwapa kila kitu wananchi wake kwa wakati mmoja? We unadhani hii nchi ni kama kijiji? Unaweka picha ya watindiga hapa alafu unaikashifu serikali acha ujinga bana? Ivi unajua ni vijiji vingapi vimepata umeme wa REA mwaka huu nchi nzima? Unajua serikali imechimba visima vingapi vya maji vijijin mwaka huu? Shirikisha ubongo acha ushabiki..!
Una roho ngumu sana !
Hakika huu ni uzi bora wa mwaka 2014. Mleta uzi BIG UP, pokea LIKE yangu! Tusingoje kumsifia mtu makaburini, wakati wa kumzika! Natamani mada hii kama ilivyo, ingewekwa kwenye vipeperushi na watu wakagawiwa nchi nzima!!!!
Na ndiyo maana siyo mnafiki kama wewe..!
huna lolote wewe bwanamdogo ! roho ngumu hapa namaanisha roho mbaya , choyo na ubinafsi wako , kisa hizi elfu 7 mnazolipwa ? Unaleta habari za REA hapa , unajua ni asilimia ngapi wanatumia umeme nchi hii ? Au miaka zaidi ya 50 BADO NI NCHI CHANGA ? NIMEKUDHARAU SANA !
HAWA NDIO WA KUWAAMBIA WAahirishe BMK , WAACHE POSHO YA LAKI 3 KWA MASAA MACHACHE TENA YA MCHANA TU ( USISEME POSHO YA SIKU , MAANA SIKU MOJA INA MASAA 24 ) ? HAPA WANAUANA KWA ELFU 50 TU !
Tuhuma bila vielelezo ni sawa na uzushi , jitazame upya .lakini mbona imekugusa sana ni kweli wewe unafanya hayo? Umekuwa moto wa petrol hasira zako hazinisaidii chochote "nakula sahan moja" na wewe mpaka useme ukweli ukipasuka shauri lako.
Tuhuma bila vielelezo ni sawa na uzushi , jitazame upya .
sio tanzania ni kenya ...akili za mavi...We endelea kuropoka tu humu mitandaoni...hujui lolote..kwa taarifa yako kila kata kuna vijiji zaidi ya vitano vitapata umeme mwaka huu isipokuwa jimbo la singida mashariki ambapo kijiji kimoja tu ndo kitapata sioumeme..unajua kwa nn?
sio tanzania ni kenya ...akili za mavi...