CCM nambari wani

CCM nambari wani

hakuna mbadala wa Chama Cha Mapinduzi kwa wakati huu waliopo wote ni wababaishaji tu wapo kama bendera upepo ukivuma na wenyewe ndio wanavuma.
 
Ningekuwa na tamaa basi ningeungana na mafisadi wauza unga, wahuni, magaidi au majangili ambao wanakwapua trilioni za walipa kodi kila mwaka na kuzificha nchi za nje. Ukileta lugha ya kihuni basi dawa yake ni lugha ya kihuni, ndiyo moto kwa moto. Kama hutaki kujibiwa kwa lugha ya kihuni basi chunga kile uandikacho hapa. Wengi tunatofautiana katika jukwaa hili lakini wale ambao hutumia lugha za kistaarabu hata siku moja hutaona wakijibiwa kwa lugha za kihuni. Mie niliweka picha kama hunijui kwanini uandike ambacho huwezi kuthibitisha dhidi yangu kuhusu kutupa uchafu barabarani? Chunga kauli zako za kipumbavu, kama huna la maana la kuandika basi kaa kimya.

wewe ndio hujitambui hujui hata ulikotoka unafuata siasa za mkumbo na tamaa tumia akili kufikiri. Nikufahamu iweje kwanza huna busara ndugu yangu, jazba na lugha za kihuni hazina nafasi ktk ulimwengu wangu hii forum ni sehem ya kuelimishana na kubadilishana mawazo yenye hekima na busara.
 
attachment.php

attachment.php
 
Ningekuwa na tamaa basi ningeungana na mafisadi wauza unga, wahuni, magaidi au majangili ambao wanakwapua trilioni za walipa kodi kila mwaka na kuzificha nchi za nje. Ukileta lugha ya kihuni basi dawa yake ni lugha ya kihuni, ndiyo moto kwa moto. Kama hutaki kujibiwa kwa lugha ya kihuni basi chunga kile uandikacho hapa. Wengi tunatofautiana katika jukwaa hili lakini wale ambao hutumia lugha za kistaarabu hata siku moja hutaona wakijibiwa kwa lugha za kihuni. Mie niliweka picha kama hunijui kwanini uandike ambacho huwezi kuthibitisha dhidi yangu kuhusu kutupa uchafu barabarani? Chunga kauli zako za kipumbavu, kama huna la maana la kuandika basi kaa kimya.

kaa kimya wewe nani malaika mtoa roho? Una busara gani? kuwa makini na maneno yako ya kijinga mimi siogopi watu kama wewe nitakwambia chochote nitakachojisikia na hizo lugha zako za kihuni ndivyo ulivyo na roho yako. Heshima ni kitu cha bure ndugu
 
Ningekuwa na tamaa basi ningeungana na mafisadi wauza unga, wahuni, magaidi au majangili ambao wanakwapua trilioni za walipa kodi kila mwaka na kuzificha nchi za nje. Ukileta lugha ya kihuni basi dawa yake ni lugha ya kihuni, ndiyo moto kwa moto. Kama hutaki kujibiwa kwa lugha ya kihuni basi chunga kile uandikacho hapa. Wengi tunatofautiana katika jukwaa hili lakini wale ambao hutumia lugha za kistaarabu hata siku moja hutaona wakijibiwa kwa lugha za kihuni. Mie niliweka picha kama hunijui kwanini uandike ambacho huwezi kuthibitisha dhidi yangu kuhusu kutupa uchafu barabarani? Chunga kauli zako za kipumbavu, kama huna la maana la kuandika basi kaa kimya.

lakini mbona imekugusa sana ni kweli wewe unafanya hayo? Umekuwa moto wa petrol hasira zako hazinisaidii chochote "nakula sahan moja" na wewe mpaka useme ukweli ukipasuka shauri lako.
 
Kwa akili yako unadhan serikali inaweza kuwapa kila kitu wananchi wake kwa wakati mmoja? We unadhani hii nchi ni kama kijiji? Unaweka picha ya watindiga hapa alafu unaikashifu serikali acha ujinga bana? Ivi unajua ni vijiji vingapi vimepata umeme wa REA mwaka huu nchi nzima? Unajua serikali imechimba visima vingapi vya maji vijijin mwaka huu? Shirikisha ubongo acha ushabiki..!
Una roho ngumu sana !
 
Hakika huu ni uzi bora wa mwaka 2014. Mleta uzi BIG UP, pokea LIKE yangu! Tusingoje kumsifia mtu makaburini, wakati wa kumzika! Natamani mada hii kama ilivyo, ingewekwa kwenye vipeperushi na watu wakagawiwa nchi nzima!!!!
 
natamani post hii imfikie huyo jamaa Habari ya mujini , labda ataelewa .
 
Na ndiyo maana siyo mnafiki kama wewe..!

huna lolote wewe bwanamdogo ! roho ngumu hapa namaanisha roho mbaya , choyo na ubinafsi wako , kisa hizi elfu 7 mnazolipwa ? Unaleta habari za REA hapa , unajua ni asilimia ngapi wanatumia umeme nchi hii ? Au miaka zaidi ya 50 BADO NI NCHI CHANGA ? NIMEKUDHARAU SANA !
 
Sikio la kufa hali,,,,,,,,,!!hawahitaji elimu,, kama unaamini kuwa unalofikiri au kutenda nikwamanufaa ya UMMA hata kwa udkiteta TENDA ,enzi za mwl wazazi walioacha kupeleka watoto shule walichapwa viboko,:walifungwa: umefika wakati wa kuchukua ha2a.
 
huna lolote wewe bwanamdogo ! roho ngumu hapa namaanisha roho mbaya , choyo na ubinafsi wako , kisa hizi elfu 7 mnazolipwa ? Unaleta habari za REA hapa , unajua ni asilimia ngapi wanatumia umeme nchi hii ? Au miaka zaidi ya 50 BADO NI NCHI CHANGA ? NIMEKUDHARAU SANA !

We endelea kuropoka tu humu mitandaoni...hujui lolote..kwa taarifa yako kila kata kuna vijiji zaidi ya vitano vitapata umeme mwaka huu isipokuwa jimbo la singida mashariki ambapo kijiji kimoja tu ndo kitapata umeme..unajua kwa nn?
 
HAWA NDIO WA KUWAAMBIA WAahirishe BMK , WAACHE POSHO YA LAKI 3 KWA MASAA MACHACHE TENA YA MCHANA TU ( USISEME POSHO YA SIKU , MAANA SIKU MOJA INA MASAA 24 ) ? HAPA WANAUANA KWA ELFU 50 TU !
 
lakini mbona imekugusa sana ni kweli wewe unafanya hayo? Umekuwa moto wa petrol hasira zako hazinisaidii chochote "nakula sahan moja" na wewe mpaka useme ukweli ukipasuka shauri lako.
Tuhuma bila vielelezo ni sawa na uzushi , jitazame upya .
 
We endelea kuropoka tu humu mitandaoni...hujui lolote..kwa taarifa yako kila kata kuna vijiji zaidi ya vitano vitapata umeme mwaka huu isipokuwa jimbo la singida mashariki ambapo kijiji kimoja tu ndo kitapata sioumeme..unajua kwa nn?
sio tanzania ni kenya ...akili za mavi...
 
Ningekuwa na tamaa basi ningeungana na mafisadi wauza unga, wahuni, magaidi au majangili ambao wanakwapua trilioni za walipa kodi kila mwaka na kuzificha nchi za nje. Ukileta lugha ya kihuni basi dawa yake ni lugha ya kihuni, ndiyo moto kwa moto. Kama hutaki kujibiwa kwa lugha ya kihuni basi chunga kile uandikacho hapa. Wengi tunatofautiana katika jukwaa hili lakini wale ambao hutumia lugha za kistaarabu hata siku moja hutaona wakijibiwa kwa lugha za kihuni. Mie niliweka picha kama hunijui kwanini uandike ambacho huwezi kuthibitisha dhidi yangu kuhusu kutupa uchafu barabarani? Chunga kauli zako za kipumbavu, kama huna la maana la kuandika basi kaa kimya.

Mkuu, achana na hilo chizi Agogwe. Baada ya kuhitimu kidato cha nne likapewa kazi kule Lumumba linaona limefika. Hebu tazama jinsi lilivyojipinda sakafuni na laptops walizopewa na Nape Nnauye. Badala watetee maslahi yao kwanza wanakuja kumwaga pu.mba zao hapa. Hawa ni watu wasiojitambua. Kama wangekuwa na akili basi wangemuomba bosi wao Nape Nnauye awanunulie meza badala wanapojipinda chini namna hii.
lumumba buku7.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom