CCM nambari wani

Acha propaganda za kipumbavu. mambo kama haya unayopandikiza ndio yanayoza mapigano na mauaji ya kimbari maeneo mengi. We kwa umburula wako nitajie hata nchi moja ya humu duniani ambayo wananchi wake hawana matatizo hata asilimia moja.
 
Chezeya Maintarahamwe Mkuu! Hayana huruma kabisa na jinsi Watanzania wengi wanavyoishi katika ufukara wa kutisha, yanachojali ni kukwapua mabilioni na kuyaficha nchi za nje.

Duh! Eee bhana hiyo ni shule au ni kichanja cha kuanikia mazao ? Hivi jamani ccm wananchi wamewakosea nini lakini ?
 
CCM wanatamani Uzi huu ufutwe! Bahati mbaya sana kwao maana ndo kwanza unanyanyuliwa kila baada ya sekunde kadhaa... Kufikia 2015 Ghadhabu za Wananchi zitawashukia mithili ya Radi...
 
Acha propaganda za kipumbavu. mambo kama haya unayopandikiza ndio yanayoza mapigano na mauaji ya kimbari maeneo mengi. We kwa umburula wako nitajie hata nchi moja ya humu duniani ambayo wananchi wake hawana matatizo hata asilimia moja.

Misukule utawajua tu...hebu nitajie nchi iliyo na utajiri wa maliasili (madini, misitu, ardhi nzuri, mito, maziwa, bahari, etc) kama huu tulio nao ambayo ni masikini kama au zaidi ya tanzania. Usijaribu kutetea hoja kwa kutumia mawazo mfu unayolishwa na misukule wenzako wa Lumumba.
 
mkuu shikamooo
 
Acha propaganda za kipumbavu. mambo kama haya unayopandikiza ndio yanayoza mapigano na mauaji ya kimbari maeneo mengi. We kwa umburula wako nitajie hata nchi moja ya humu duniani ambayo wananchi wake hawana matatizo hata asilimia moja.

Ni kweli kabisa mkuu, haya mambo ya CCM kuwafukarisha wananchi wakati nchi imesheheni rasilimali zinazochotwa na mabeberu (wenyewe wanawaita wawekezaji)yatakuja kupelekea wananchi kuasi na kudai chao mapema. Kama hali ikiendelea kuwa hivi, ipo siku wananchi watakuwa hawasikilizi tena uongo, propaganda na unafiki wa CCM kama huu unaotaka kuwapandikiza watu hapa.
 
Magamba aka chama cha watoaji na wapokeaji Rushwa
 
jamani kwenye maji vijijini na barabara Kikwete amejitahidi kwa wenzangu ambao wanaozurura mavijijini watakuwa wamenielewa.

Unajua ndio maana mie huwa natoa maneno makali.Hivi wewe IQ yako inaweza ikaizidi ya kuku kweli? huivi nani alikuambia rais wa nchi anapimwa uwezo wake kwa kujenga barabara na kupeleka maji vijijini?.unajua kuwa kujenga barabara na kupeleka maji kwa raia wanaolipa kodi kubwa kupelekewa hivyo vitu ulivyovitaja ni haki yao? Wewe Mtanzania utaamka na kuelimika lini? wewe mtu maji na barabara ni haki yako unalipa kodi wewe aaah.Siku nyingine usiongee ujinga huu watu wakisikia watakucheka .kuna mambo rais akifanya nasifiwa na kuonekana kuwa sio rais wa kawaida na kingizwa kwenye orodha ya marais makini.Angalau huyu wetu angeweza kuokoa fedha,kwa kuminya mianya ya ufisadi,tunavyoibiwa madini,mikataba mibovu,kukuza pato lataifa lakini sio hivyo ulivyovitaja.ndio maana kuna bunge labajeti kupanga matumizi ya kodi zetu.na nyingi zinaelekezwa huko kwenye miundombinu na huduma za jamii.barabara,maji,elimu,afya,miundombinu mingine ni kazi ya kila siku yaserikali yoyote.Wewe IQ ndogo baba yako akikusomesha,akikununulia mavazi,chakula na malazi sio fadhira ni jukumu lake.ohooo!
 
Acha propaganda za kipumbavu. mambo kama haya unayopandikiza ndio yanayoza mapigano na mauaji ya kimbari maeneo mengi. We kwa umburula wako nitajie hata nchi moja ya humu duniani ambayo wananchi wake hawana matatizo hata asilimia moja.

kuna matatizo na dhiki , HII NI DHIKI .
 
nimecheka ALMANUSURA KUCHANA MBAVU !
 
mkuu siriaz kabisa mnataka kukitosa chama cha mapinduzi??
 
Last edited by a moderator:
Big up…,ww ni great thinker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…