GE2025 CCM ndio watakaozuia Uchaguzi Mkuu na kuusogeza mbele

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
No Reforms No Election inaonekana kutekelezwa vizuri na Chama cha Mapinduzi kuliko waasisi wenyewe ambao ni CHADEMA.

Kwa mwenendo unavyoonekana ndani ya CCM kuna hatari ya wao kuvurugana wenyewe kwa wenyewe na kusababisha mchakato wao kurudiwa na Uchaguzi Mkuu kusogezwa mbele, hivyo lengo la No Reforms No Election kutimia.

Mark this Thread..
 
No Neforms No Election inaonekana kutekelezwa vizuri na Chama cha Mapinduzi kuliko waasisi wenyewe ambao ni Chadema.

Kwa mwenendo unavyoonekana ndani ya CCM kuna hatari ya wao kuvurugana wenyewe kwa wenyewe na kusababisha uchaguzi kusogezwa mbele, hivyo lengo la No Reforms No Election kutimia.

Mark this Thread..
Japo hujaelezea kwa mifano ya mambo yanayoendelea lakini hoja yako inastahili kuungwa mkono
 
No Reforms No Election inaonekana kutekelezwa vizuri na Chama cha Mapinduzi kuliko waasisi wenyewe ambao ni CHADEMA.

Kwa mwenendo unavyoonekana ndani ya CCM kuna hatari ya wao kuvurugana wenyewe kwa wenyewe na kusababisha mchakato wao kurudiwa na Uchaguzi Mkuu kusogezwa mbele, hivyo lengo la No Reforms No Election kutimia.

Mark this Thread..
Na ikawe hivyo.
 
Nafikiri kutegemea watu wavurugane ili kutimiza agenda ya NRNE inakua kama ramli. Huwez tengeneza agenda ambayo utekelezaji wa mkakati wake unetegemea bahat nasibu ya sintofahamu kujitokeza kwa your counter-part kama hivi, oky, wasipovurugana je?? This is ridiculous.
 
Kila ntu/kenge atanena kwa lugha yake kwa wakati wake tu! Ishakuwa mnara wa babeli tayari...
 
SSH asijaribu kufanya uchaguzi bila upinzani atajuta, upinzani wa CDM ni bora zaidi kwake kuliko upinzani ndani ya CCM
 
No Reforms No Election inaonekana kutekelezwa vizuri na Chama cha Mapinduzi kuliko waasisi wenyewe ambao ni CHADEMA.

Kwa mwenendo unavyoonekana ndani ya CCM kuna hatari ya wao kuvurugana wenyewe kwa wenyewe na kusababisha mchakato wao kurudiwa na Uchaguzi Mkuu kusogezwa mbele, hivyo lengo la No Reforms No Election kutimia.

Mark this Thread..
Mkuu,

Una habari zozote tofauti za kukufanya ufikiri hivi au ni hizi hizi tunazozijua wote za Malisa, Polepole, Mpina na Gwajima?
 
Nafikiri kutegemea watu wavurugane ili kutimiza agenda ya NRNE inakua kama ramli. Huwez tengeneza agenda ambayo utekelezaji wa mkakati wake unetegemea bahat nasibu ya sintofahamu kujitokeza kwa your counter-part kama hivi, oky, wasipovurugana je?? This is ridiculous.

Maisha yenyewe tu shitholeni ni betting why not? Kuna nini unaweza kupredict kwa uhakika bongo pamoja na usomi wako mkuu? Tuache kujitoa ufahamu. Mama mwenyewe anaishi kwa ramli tu na anapiga mpunga
 
Nafikiri kutegemea watu wavurugane ili kutimiza agenda ya NRNE inakua kama ramli. Huwez tengeneza agenda ambayo utekelezaji wa mkakati wake unetegemea bahat nasibu ya sintofahamu kujitokeza kwa your counter-part kama hivi, oky, wasipovurugana je?? This is ridiculous.
Inawezekana ndiyo mipango yenyewe hiyo.
 
Mkuu,

Una habari zozote tofauti za kukufanya ufikiri hivi au ni hizi hizi tunazozijua wote za Malisa, Polepole, Mpina na Gwajima?
Kuna habari kuwa mwanamke mzanzibari atapendwa sana na mwenyezi Mungu hivi karibni.
 
Inawezekana ndiyo mipango yenyewe hiyo.
Okay, acha tuone. Ila mi naona kama cdm tumeumia lpaka sasa tumepigwa KO.
Lissu wetu ndani.
Cdm yetu imepigwa pini
Uchaguzi kama uko around the corner,
Sijui itakuaje?
Acha tuone lakini
 
Back
Top Bottom